Hakuna ubaya. Ila inaweza ikakuuma kama umetokea kwenye familia ambapo siku yako ya kuzaliwa ilikuwa inakumbukwa na kutiliwa maanani. Mfano mimi, ktk mwaka wangu wa kwanza kwenye ndoa, nilijiskia vibaya pale mwenza wangu alipo sahau siku yangu ya kuzaliwa. Ila kadri miaka ilivyo kwenda...
Hivi kwani na radio nyingine kongwe zilianzishwa kwa kiki za hivi kama hawa wasafi wanavyo fanya? Je kiki zikiisha? Ndo utakuwa mwisho wa hiyo radio au?
Na kweli! Waape kimya kimya...
Mimi pia nilijiapiza kutokutumia hizo njia. Nimejikuta nimepata mapacha bila kupenda. Yani nimembebea mimba mtoto akiwa na miezi 5.
Baada ya kujifungua huyu nimeweke kitanzi faster!
Kweli jiapizeni kimya kimya jmn. Kama hayaja kukuta huwezi elewa kabisa!
Pole sana. Ungeenda kuonana Dr kwanza.
Kuna vitu vinasaidia kupunguza depression.
1. Kufanya mazoezi. Jitahidi kutenga muda hata wa kutembea asubuhi/ jioni kama mazoezi mengine huwezi.
2. Kunywa maji mengi. Itapunguza migraine.
3. Jiweke karibu na Mungu. Fuata hata watumishi wa Mungu kwa ushauri...
Nilikuwa siamini hii michezo pia, ila nina watu wangu wa karibu wanne walio shinda, wawili walishinda biko, na wawili ni 3 mzumka. Ila sio pesa nyingi saaana! Ni hizi laki 2.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.