Recent content by Diana-DaboDiff

  1. D

    JamiiForums Tanzania Kuishi pamoja!

    Nami ninaeishi na mwanamke mwenzangu naruhusiwa kuchangia mada hii?
  2. D

    JamiiForums Tanzania Diana Dabo Diff

    Yaani wanawake wawili ndani ya nyumba ni amani tupu hata afya imeimarika.
  3. D

    JamiiForums Tanzania Diana Dabo Diff

    Nipo mpendwa nashukuru kwa kinimiss,nilikuwa na matatizo ya ndoa tumeachana na mume sasa hivi naishi na mwanamke mwenzangu hamna tena kelele wala bugudha.Wanaume ni ugonjwa wa moyo sitaki tena.
  4. D

    JamiiForums Tanzania CCM: Tuna madiwani 16 Arusha

    Toa takwimu za kupinga.
  5. D

    JamiiForums Tanzania CCM: Tuna madiwani 16 Arusha

    Nimesoma posts 52 kupata jibu kutoka kwa Mkulima sasa mwenye propaganda nani,wapenzi wa CDM au Tambwe ?
  6. D

    JamiiForums Tanzania Kubaka siyo hatia kwetu!!

    Ala kumbe ni handisamu boy hivi ?
  7. D

    JamiiForums Tanzania Paja la aunt ezekiel..

    Taratibu Ndiba hiyo sasa ni kashfa ukiambiwa thibitisha utaweza ? labda aulizwe Uporoto01 naskia alipitia hapo.
  8. D

    JamiiForums Tanzania Kweli dunia kizungumkuti!

    Hahaha! hapo utanisamehe shoga nitawachelewesha bure mkinisubiri nipumzike kila mara.
  9. D

    JamiiForums Tanzania Kubaka siyo hatia kwetu!!

    Kakakiiza ile picha yako ya kwanza tulikuwa tunaiogopa sasa hii sijui kama utapata mwenza kabla ya mwaka kwisha kama ulivyosema.
  10. D

    JamiiForums Tanzania Kweli dunia kizungumkuti!

    Mwaka huu ilikuwa zamu yangu kuwakaribisha ndugu sikukuu ya x-mas sikuweza kuwa mbali na home.
  11. D

    JamiiForums Tanzania Kweli dunia kizungumkuti!

    Shosti najua hili sio jukwaa letu lakini inabidi nikuulize eti na ujanja wako wote ulivalishwa shanga kwenye ile safari ?
  12. D

    JamiiForums Tanzania Msaada wadau wa jukwa hili.

    Kweli shosti'angu anapendwa njemba iko tayari kutalk na whole village ? au kuomba ridhaa ya wa-TZ ?
  13. D

    JamiiForums Tanzania Obama amwambia rais Bagbo akubali kushindwa. JK je?

    Jamani hapa tuwe objective kidogo ni kweli kulikuwa na mapungufu kidogo kwenye uchaguzi wetu lakini sio kiasi cha kubadili matokeo,tafauti kati ya asilimia 27 na asilimia 61 ni kubwa sana.Tusiwe wepesi wa kukubali kuwa wizi mkubwa ulitokea bila ushahidi wowote na ni zaidi ya mwezi na nusu tangu...
  14. D

    JamiiForums Tanzania Wadada kuvaa pete kidole kinachofuata dole gumba maana yake nn?

    Tumia lugha ya kiungwana kila mtu ana uhuru wa kutoa maoni yake bila bugudha. Yeye ndio alietakiwa kuomba msamaha.Umebwatuka kwani mbwa ? Bila ustaarabu mijadala hainogi.
  15. D

    JamiiForums Tanzania Nifikishieni salamu hizi kwa mpenzi wangu!

    Nipo dear mihangaiko mingi tu.
Back
Top Bottom