Wadada kuvaa pete kidole kinachofuata dole gumba maana yake nn?

Ni katika kutafuta urembo wa aina mpya tu, haina maana

Kuvaa pete kila siku kwenye kidole hicho hicho inachosha ati

Huu urembo umezidi maana kuna vipini mpaka sehemu muhimu duh
Funua ndani uone makubwa zaidi ya hayo ya vidoleni
 
Ni urembo hakuna la ziada...halafu kila siku lazima kunakuja kiswali cha aina hii. bado hamjauliza kutoboa/kuvaa kipini kwenye ulimi, chini ya mdomo, chini ya pua pembeni pale kwenye kona, kwenye pua, nk. vyote hivyo vitakuja siku nyingine one at a time. na vyote hivyo jibu lake ni moja urembo...mwanamke kujiremba....
 
Matangazo ya biashara Tigo inakua!Tigo inapanuka!!!!!asiyejua maana haambiwi maana.Panda farasi ufike mapema!!
 
urembo tu huo jamani,hata mimi navaa hivyo lkn haimaanishi kitu.
ila mlivyo wabishi najua hamtakubali hadi mtunge maana,na lazima najua mtasema inalink na tigo!

ni kweli... mie demu wangu m1 wa ki-tanga alivyotoka mambasa akawa anavaa hicho nikamuuliza sikuhizi sio tena kikuku akanjibu "SIKUHIZI DUBEI WALA BATAAA" ...akasema hicho chaitwa ki-bata/ki-bati na ni kwa waliwao tigo/ndogo/mngongo... CHAVALIWA KIDOLE CHA PILI BAADA YA GUMBA LA MGUU NA HASWAAA KULIA...habari ndo hiyo CHEUSI MANGALA.... NAAMINI WAIJUA MAANA ILA WATUTEGA TUU
 
ni urembo tu
ni nimezpiga kote
uku nina pete ya rozari kidole cha kati mkono wa shoto nimepiga iyo kitu kwenye gumba na kidole kinachofatia.....ni kawaida nthng means.
msitafute maana pasipo na maana.
n
 
ni urembo tu
ni nimezpiga kote
uku nina pete ya rozari kidole cha kati mkono wa shoto nimepiga iyo kitu kwenye gumba na kidole kinachofatia.....ni kawaida nthng means.
msitafute maana pasipo na maana.
n
hahaha thats my girl....mambo wewe? makange leo wapi?
 
hahaha thats my girl....mambo wewe? makange leo wapi?

ahhh mising 2ma dear!
leo nipo eda akuna makange wwala mishkaki roy wangu hayupo kaenda ukoooooooooooooooooooooo mbali kabisa so leo nipo nipo tu labda mpk ntangaze tenda ya kuja kunyakuliwa....ungekuwa mjin ningekupa tenda sa wewe upo mbali bwana itakuwaje sasa?
 
Asee!! worry not! am counting my days!
 
ni urembo tu
ni nimezpiga kote
uku nina pete ya rozari kidole cha kati mkono wa shoto nimepiga iyo kitu kwenye gumba na kidole kinachofatia.....ni kawaida nthng means.
msitafute maana pasipo na maana.
n
yap, mie pia nimepiga vidole vyote vya mkona wa kushoto
 
hebu fafaqnua, kidole cha mkononi au mguuni?

Hivi karibumni katika pita pita zangu nimekutana na hichi kitu mara nyingi sana kwa wadada lakn nashindwa kuelewa kina maanisha nn.Hv wadada kuvaa pete kidole kinachofuata dole gumba maana yake nn?
 
Back
Top Bottom