Mkuu, umeme kukatika huwa kunakuwaga na known na unknown reasons.
Lakini amini nakuambia, hakuna mtu anayeamka kwake kwenda eti kukata umeme kwa makusudi kabisa... Hiyo kitu haipo.
Incase una swali lolote lile uliza nikujuze taratibu mpaka uelewe.
Kwa faida yako wewe na wengineo wote mnaodhani kuwa Tanesco wanapenda kukata umeme.
Ngojea nikuelezee nini huwa kinatokea.
Kwanza huwa kuna aina kubwa mbili za umeme kukatika.
1. Kukatika kwa umeme kulikopangwa. ( Planned outages)
2. Kukatika kwa umeme kwa dhalura/ghafla ( Forced outages.)...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.