kelphin
JF-Expert Member
- Dec 24, 2019
- 9,010
- 14,292
Nafikiri changamoto ni watoa huduma ni wachache kuliko wapatiwa huduma.
Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
Umenena
Nafikiri changamoto ni watoa huduma ni wachache kuliko wapatiwa huduma.
Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
Mbona unang'ania mimi tu nitaje nilipo?Na wengine waliosema kuna shida,mbona hujawauliza walipo,TANESCO fanyeni kazi wananchi wapate umeme wa uhakika,acheni kuhujumu nchi,umeme ni kero nchi nzima.Huna lolote wewe!! unashindwa hata kutaja eneo lililo na shida ya umeme bali utopolo tuu.
We,we,we,acha kuleta hadithi za alinacha hapa,hakuna kitu kama hicho.It seems hujui hata basics za umeme,kaa kimya.Mkuu umeme unapokatika usilalamike tu huenda sometimes wanalinda na vifaa vyako
Umeme hukatika kwa sababu nyingi ,zawwza kua za miundombinu au hata extra current kwahyo ukiona hivyo ujue kuna sababu NA NYINGINEZO
Sina lolote,yaani saa hizi within a short period of two minutes,umeme umekatika mara mbili!Hapana TANESCO jamani, we need some seriousness jamani.Come on.Huna lolote wewe!! unashindwa hata kutaja eneo lililo na shida ya umeme bali utopolo tuu.
Unatukana wateja wanaoleta genuine grievances,hivi TANESCO mkoje?Mmefundwa kimaadili kazini kweli,dah.Umeambiwa tatizo ni la nchi nzima,Wilaya zote hakuna exception,tatueni tatizo ni kubwa.Hivi nani mwenye interest na kuwapaka matope unnecessarily ninyi?Acheni ujinga.Halafu si mmeambiwa kwa nini wateja hawataji locations zao?Ass! Maeneo mbalimbali yapi?? Tumeomba wayataje wameshindwa kwa sababu wanaleta siasa uchwara tu mkuu!!
Hapana mkuu,sio kweli,hatuna shida ya umeme kwa sasa,TANESCO wenyewe wamekiri hivyo.Tatizo ni either sabotage,lack of commitment and nationalism or professionalism.Viwanda 8000 vimeanzishwa kwa miaka 5 na kutoa ajira milioni 8 vinatumia umeme mwingi Sanaaa ndo shida hiyo
Wanaogopa kusema viwanda 8000 no rekodi ya dunia Germany had I Leo vipo elf NNE tu,labda sabotage itakuwa mabeberu since unajua tupo kwenye vita ya uchumi na wazungu?Hapana mkuu,sio kweli,hatuna shida ya umeme kwa sasa,TANESCO wenyewe wamekiri hivyo.Tatizo ni either sabotage,lack of commitment and nationalism or professionalism.
We,we,we,acha kuleta hadithi za alinacha hapa,hakuna kitu kama hicho.It seems hujui hata basics za umeme,kaa kimya.
Kwa faida yako wewe na wengineo wote mnaodhani kuwa Tanesco wanapenda kukata umeme.Mkuu nadhani nirudie,sitasema kwa kuwa mnalindana sana na mnatoa siri za wateja.Itoshe kusema kwamba kufuatana na comments za wachangiaji wengi,tatizo ni kubwa kwa hiyo litafutieni ufumbuzi.Si vigumu kujua tatizo liko wapi kama kuna team work.
Yaani TANESCO mnachekesha sana,sasa scenario zote hizo si zinaweza kupangwa as sabotage.Kwa faida yako wewe na wengineo wote mnaodhani kuwa Tanesco wanapenda kukata umeme.
Ngojea nikuelezee nini huwa kinatokea.
Kwanza huwa kuna aina kubwa mbili za umeme kukatika.
1. Kukatika kwa umeme kulikopangwa. ( Planned outages)
2. Kukatika kwa umeme kwa dhalura/ghafla ( Forced outages.)
1. Kwenye planned outages hapo, ni kwamba kuna siku huwa inatangazwa kabisa kwamba Tarehe fulani kitakuwa na katizo la umeme maeneo fulani kwa sababu labda ya kuboresha miundombinu ya shirika na huwa mnatajiwa maeneo yatakayoathirika... Inawezekana siku hiyo ikawa kuna matengenezo kwenye vituo vya kupooza umeme au kufanya usafi kwenye laini za umeme kwa kukata miti, au kubadilisha nguzo au kuvuta waya vizuri au Chochote ili mradi kuboresha miundombinu na kuhakikisha upatikanaji wa Huduma.
2. Kwenye forced outages hapo, ili nikuelezee na uelewe inatakiwa Usali kwanza.
Asante!
TANESCO kuweni serious,sisi si watoto wa kupewa ahadi hewa.Comment hii ni ya kijinga.Tunataka mjue na muelewe kwamba mpo TANESCO kwa niaba yetu,wote hatuwezi kuwa TANESCO,so be responsible.Without being responsible you are digging your own grave.Jamaa akiamua kuipangua TANESCO mtakuja kulia.Ndugu mteja uwe na subira mafundi wanalishugulikia suala lako kwa kufunga mitambo mipya kutoka ujerumani
Mkuu, hiyo short ya umeme inaunguzaje nyumba?TANESCO wanatuweka kwenye mazungira magumu sana kiukweli.Mtu uweka your lifes savings kwenye nyumba,sasa imagine inaungua kwa short ya umeme,unakwenda wapi.Wewe acha tu mkuu.Halafu sheria zetu zilivyo za kijinga sasa,huwezi kulipwa hata kama wao ndio wamesababisha.Insurance nako utazunguushwa wewee,mpaka ukate tamaa,yaani sisi bado sana kwa kweli.