Recent content by DhulRah

  1. DhulRah

    JamiiForums Tanzania Wachungaji wanapotutoa mapepo yanaenda wapi?

    Mkuu, kwani wew ukidelete picha kwenye simu yako inaenda wapi?
  2. DhulRah

    JamiiForums Tanzania Mandela alikuwa ni sell out na Afrika Kusini bado iko chini ya Mzungu!

    Nlivyoona heading nkajua yes hapa ntapata madini, baada ya kusoma ulichoandika nmejikuta tu najilaum kwa kupoteza muda wangu kusoma huu upuuzi wako
  3. DhulRah

    JamiiForums Tanzania DAR: Sheikh wa Mkoa, Mussa Alhad atangaza mwisho wa Mange Kimambi kutukana, kushughulika na JamiiForums kisheria

    Am sure 100% huyu shekh either hajui Dini au anatumika vibaya
  4. DhulRah

    JamiiForums Tanzania Sasa nimeelewa kwa China wana hili sharti kuwa Kiongozi wa nchi!

    Kwahyo Rais wako nae ana degree ya math or engineering? Shwain!!!
  5. DhulRah

    JamiiForums Tanzania Masoud Kipanya anafanya biashara gani hadi aendeshe magari ya kifahari? Mwenyewe amejibu..

    Huu ni ujinga na chuki zisizo na maana, kwani hata akimiliki ndege au meli wew kinakuuma nin? Kwanin watanzania tunachuki hivi? Kwanin na wew usipambane ukapata Mali zako na magari yako ya kifahari? Ndo ninyi mnataka wenzenu waishi kama mashetani badala ya nyie kupambana muishi kama malaika.
  6. DhulRah

    JamiiForums Tanzania KURDISTAN STATE:UTURUKI, SIRIA, IRAKI,IRANI NA ARMENIA HATARINI.

    Ntarud kuimalizia
  7. DhulRah

    JamiiForums Tanzania Tumpigie Rais Magufuli kura ili apate tuzo ya kiongozi bora barani Afrika 2017

    Kafanya lipi la maana mpaka nimpigie hiyo kura?
  8. DhulRah

    JamiiForums Tanzania Sheikh Noordin Kishk wa Temeke ammwagia sifa Rais Magufuli kwa kukemea utovu wa maadili!

    Huko ndo kujipendekeza kwenyewe halafu anasema hataki kuongelea siasa
  9. DhulRah

    JamiiForums Tanzania Sheikh Noordin Kishk wa Temeke ammwagia sifa Rais Magufuli kwa kukemea utovu wa maadili!

    Usiseme Waislam sema wew ndo unamuunga mkono, usizungumzie wenzako
  10. DhulRah

    JamiiForums Tanzania Saidi Maulid Mtulia atangaza kugombea tena jimbo lake la Kinondoni kwa tiketi ya CCM

    Anastahili kutukanwa
  11. DhulRah

    JamiiForums Tanzania Unakumbuka nini,ulikuwa wapi,ulikua unafanya nini na sasa uko wapi , unafanya nini??

    Kipindi hicho nauli ilkuwa 50 au 30? Tuweke sawa hapo mkuu
  12. DhulRah

    JamiiForums Tanzania Hatimae account ya instagram ya Mange Kimambi yarejea

    Pumba kabisa
Back
Top Bottom