John Pombe Magufuli: Kiongozi pekee barani Africa mwenye hotuba zenye mvuto zaidi kwa wananchi wake kwa sasa

Babu Kijiwe

JF-Expert Member
Mar 31, 2010
4,762
4,576
Mara nyingi huwa haandiki hotuba, anakuwa na data nyingi zenye mvuto na mguso hasa kwa watu wa chini, hahofii kuongea ukweli mchungu hata kama wanaohusika ni watu wa karibu, anapohutubia popote wananchi wengi sana huacha shughuli zao na kwenda kumsikiliza, waliopo maeneo mengine hawabanduki kwenye vyombo vya habari kufuatilia.
Hotuba zake hazichoshi hata zikiwa ndefu vipi, ziara zake huwa na msisimko mkubwa.
Hongera Ndugu JPM.
 
Huo ni ukweli usiopingika..
 
Kuna siku mtasema ni mweupe kuliko wazungu
 
Mkuu hapo umenena hata UKAWA huwa hawabanduki kwenye TV kumsikiliza Rais wao!
 
Mara nyingi huwa haandiki hotuba, anakuwa na data nyingi zenye mvuto na mguso hasa kwa watu wa chini, hahofii kuongea ukweli mchungu hata kama wanaohusika ni watu wa karibu, anapohutubia popote wananchi wengi sana huacha shughuli zao na kwenda kumsikiliza, waliopo maeneo mengine hawabanduki kwenye vyombo vya habari kufuatilia.
Hotuba zake hazichoshi hata zikiwa ndefu vipi, ziara zake huwa na msisimko mkubwa.
Hongera Ndugu JPM.
Muambieni atubu kwanza
 
Kunamtu anapakwa mafuta kwa mgongo wa chupa hapa
 
Mara nyingi huwa haandiki hotuba, anakuwa na data nyingi zenye mvuto na mguso hasa kwa watu wa chini, hahofii kuongea ukweli mchungu hata kama wanaohusika ni watu wa karibu, anapohutubia popote wananchi wengi sana huacha shughuli zao na kwenda kumsikiliza, waliopo maeneo mengine hawabanduki kwenye vyombo vya habari kufuatilia.
Hotuba zake hazichoshi hata zikiwa ndefu vipi, ziara zake huwa na msisimko mkubwa.
Hongera Ndugu JPM.

Ndiyo kazi mnayoijua KUMSIFU,KUMABUDU na KUMTUKUZA!In short hana Mbingu huyo.
 
Wind - windvane
Themo - thermometer
Hagro - hygrometer
Bora - borameter
Hatujui jinsi ya kupima ubora tumieni iyo tools
 
Una ugonjwa ambao hauwezi kutibika abadani!

Mwambieni ATUBU kama alivyoshauriwa
FB_IMG_1462977144056.jpg
 
Back
Top Bottom