Recent content by dhihaka

  1. D

    UTAPELI: Kampuni ya D9 (DNINE) ni kina nani? Nani kawapa kibali cha kazi Tanzania?

    hao ni matapeli siku moja tuyaweke makampuni hapa pamoja na website ambazo zinahusika na kutapeli watu kama hao d9 pamoja na startminer.com wote ni scam stay away from them. nimejaribu whois pamoja na ku ping server zao ila response hakuna inaonekana hawajasajiliwa tofauti na website zingine...
  2. D

    Polisi: Lissu hatoki

    NAMPANGO WA KUANZISHA KIWANDA CHA KUPIMA MKOJO
  3. D

    Onyo kwa mawakili wote wanaopanga kuandamana kesho kwa ajili ya Lissu

    HIVI LISU ANAKICHOCHO AU UTI, MBONA ANAPIMWA MKOJO? MKEMIA MWAKA HUU AJIANDAE KUPIMA SAMPULI NYINGI MAANA HAWACHELEWI KUMPIMA LOWASA HAJA KUBWA NA MBOWE WAKAMPIMA USHUZI
  4. D

    Kuendelea kuchangia michango kwenye mifuko ya wafanyakazi ni ujinga uliopitiliza

    MIONGONI MWA WATU WA MOTONI NI HAWA. UNAGAWANA JASHO LA MASIKINI (POSHO) KWA KISINGIZIO KUWA UNATETEA MASLAI YAO. SHERIA ZINAPINDISHWA WAMEKAA KIMYA HAWANA TOFAUTI NA WASALITI MUNGU ATAWALAAN NI BORA UJIUZULU TUJUE KUWA UMEFUATILIA LAKINI UMEKUMBANA NA CHANGAMOTO KULIKO KUENDELEA KULA HELA ZA...
  5. D

    Julai 2017: Nyongeza za mishahara na kupandishwa vyeo - Kilio cha Watumishi wa Umma

    NAONA WENGI WANAO LALAMIKA NI WALIMU SWALI JE? KALE KA COMPUTER (LAPTOP) ALIKO KAAHIDI KIPINDI CHA KAUCHAGUZI KWA KILA MWALIMU KAMEFIKIA WAPI? WALIMU WA ARTS MLIO MITAANI ZILE AJIRA ELFU 40..... ZIKO WAPI? NILICHO JIFUNZA WEHENGA WAPO SAWA "UKIONA MWENZIO ANANYOLEWA ZAKO TIA H2O" YAANI HAKUNA...
  6. D

    Julai 2017: Nyongeza za mishahara na kupandishwa vyeo - Kilio cha Watumishi wa Umma

    HIVI WALIMU MLIPEWA ZILE COMPUTER(LAPTOP) ALIOZIAHIDI MKULU
  7. D

    Mwenyekiti wa Taasisi ya Imamu Bukhary Sheiky Khalifa Hamisi anashikiliwa na Polisi

    NAPENDA KUWAOMBA WAISLAM WOTE KOTE NCHINI NA WAPENDA AMANI WOTE KUWA WAVUMILIVU KWANI SIKU ZOTE MUNGU YUPO NA WAVUMILIVU. HII HALI YA KUKAMATWA KWA VIONGOZI WA DINI HUSUSANI WAISLAM INARUDISHA JUMA JUHUDI ZA KUISHI KWA UMOJA AMANI NA UPENDO MIONGONI MWA WATANZANIA Imamu Bukhary Sheiky Khalifa...
  8. D

    Mwenyekiti wa Taasisi ya Imamu Bukhary Sheiky Khalifa Hamisi anashikiliwa na Polisi

    TUNAPOELEKEA SIO PAZURI. WATU WAKIHOJI KUWA UDINI UPO NCHI HII WATAKOSEA? HEBU JIULIZE MANENO ANAYO ONGEA ASKOFU GWAJIMA KWA FAMILIA YAKE INGEKUWA SHEKH ASHAPEWA KESI YA UGAIDI AU UCHOCHEZ UPENDE USIPENDE HUO NDIO UKWELI
  9. D

    Kampeni ya "Magufuli Baki" yaanzishwa. Yeyote atakayepinga atachukuliwa hatua

    MM SIJAELEWA hivi kwani MAGUFULI anaenda WAP mpaka iwe magufuli baki. AU mnamaanisha abakie madarakani mpaka kufa? kingine mtu kutekeleza majukumu yake ni swala la kawaida sana kwa wenzetu (tena usipotekeleza wana ku brazili na south korea) kwasababu huku tushazoea viongozi wezi na vilaza ndio...
  10. D

    Tamko kuhusu Mashekhe wa Uamsho

    KWA MAONI YANGU MADAI YA SHEKHE YANAMASHIKO YAFANYIWE KAZI KWA AJILI YA AMANI YA NCHI YETU
  11. D

    Special Thread kwa wana JF wote waliosoma Benjamin William mkapa high school BWMHS

    PCM 2012 vip jamani KUHUMBE bado yupo. Magongo na yule wa uchumi mwenye sauti kama ya kike
  12. D

    KIBITI: Mtendaji wa Kijiji na Mwenyekiti wa Kitongoji cha Mangwi wauawa kwa kupigwa risasi

    Sizani kama ndio itakuwa suluhisho sanasana bajeti ikipita vitambi vitaongezeka. Kikubwa hapo ni ukosefu wa INTELIJENSIA waongeze na kuwawezesha kukabiliana na matukio kama haya ya Hit and Run hususan ku infiltrate enemy
  13. D

    KIBITI: Mtendaji wa Kijiji na Mwenyekiti wa Kitongoji cha Mangwi wauawa kwa kupigwa risasi

    Nimejifunza kitu tusitegemee sana police hawa wetu kutulinda tena raia na mali zao kwani inaonekana hawana uzoefu na maswala kama haya. Sasa wananchi bila kujali itikadi zetu tuanze kampeni yetu wenyewe ya kufuatilia hao jamaa
  14. D

    Kwa wale software developer naombeni msaada wenu.

    kutengeneza simple software kunahitaji programming knowledge. hivyo ili utengeneze unahitaji kujua programming language kama umeamua kuanza na C ni vizuri kwani hakuna programming language mbaya au nzuri kila programming language inafanya vizuri ktk upande fulani zaidi ya upande mwingine mfano...
Back
Top Bottom