Really Bad idea.
Mkuu umetumia C kweli? Comparing with other languages C ni rahisi sana kwa beginner, java na higher level concepts zote zile nani ataelewa?
Can you compare
Code:
#include <stdio.h>
int main(){
printf("Hello world!");
return 0;
}
VS
Code:
package whatever
public class HelloWorld {
public static void main(String[] args) {
System.out.println("Hello, World");
}
}
Yaani Java sio beginner friendly hata kidogo, concepts za public, static, class bado uje kwenye functions zake System.out.println yaani watoto lazima wakimbie programming.
Watu wanachoogopa C sijui ni nini? Wengi wanasema pointers sijui, there's really nothing special to it, In fact its a better language kwa beginner ajue vizuri how to access memory na kutumia resources efficiently, hizo abstractions zote zimefichwa kwenye higher level languages.
Python labda, japo dynamic typing is a mess ila angalau inaweza kuvumiliwa kwa kua na very easy syntax.