Kwa ninavyofahamu,Hiyo ni restriction ya android kuanzia 13 na kuendelea , hauwezi ukapaste files kwenye baadhi ya system folders, kila kitu unatakiwa ukidownload moja kwa moja.
Hata mimi mkuu natumia hiyo ya voda ya 20Mbps nilinunua hiyo powerbank/UPS ya router za Airtel natumia kwenye router yangu, umeme ukikatika inapiga kazi zaidi ya masaa 10.
Habari wakuu, mimi nina router yangu ya 4g sasa nilikuwa nataka niitafutie power bank maana umeme wetu huu kila siku unakatika nakosa internet. Juzi kati Nilipita kariakoo katika kuzunguka nikakutana na jamaa wanauza box fulani lina custom circuit board linatumia Betri kama la pikipiki jamaa...
Juzi kati nilienda kutafuta Router kariakoo nikapata hii hapa kwa 110k.
Za Tp-link na Dlink zinazosupport sim card bei yake ipo juu kidogo kuanzia 150k
Nimeikumbuka Misukosuko..
Nikaenda kugoogle kama sijakosea jina nikaikuta youtube ,dah hizo ngumi kama mtu anavunga mabati...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mono :Sauti inatoka kwenye chanel moja
Sterio: Sauti inatoka kwenye Chanel mbili au zaidi . Left na right ,center
Mfano kwenye mono kama unatumia earphone,pande zote mbili zitakuwa zinatoa sauti zinazofanana kila kitu , ila sterio kila upande unaweza ukatoa sauti tofauti.
Ndio inawezekana ila mkiingia kwenye match mtakuwa paired na watu wa Emulator.
Official Emulator ya pubgm inaitwa Gameloop, ila kuna wengine ambao wanatumia dual booting windows na Android os kama vile Prime na Phoenix Os ambazo zinaperform vizuri ukilinganisha na emulator..
Alafu kwa kutumia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.