Msaada ,SMS ya mpesa kuibadilisha kuwa halopesa

Cosovo

JF-Expert Member
Jul 8, 2018
375
1,000
Kuna mtu kanitumia hela kutoka mpesa kuja Halotel,lakini haikuingia kwenye halopesa ,isipokuwa imekuja kama sms ya kawaida,kiasi na namba ya siri nitembelee kwa wakala kupata Pesa taslim,hela ni ndogo nataka kuiweka halopesa ninunue vocha,nifanyaje

Wenye kujua
 

Kimoni

Senior Member
Apr 29, 2020
129
250
Hiyo huwezi kuibadilisha nenda kaitoe tuu la sivyo baada ya siku 7 kama hujaitoa inarudi kwa alietuma.
 

Oculus

JF-Expert Member
Apr 21, 2014
913
1,000
Hakuna hiyo option, wewe nenda pokea cash kisha mwambie aiweke kwenye HaloPesa tena kama unavyotaka.
 

Chaliifrancisco

JF-Expert Member
Jan 17, 2015
15,713
2,000
Njia rahisi ni kumuomba aliekutumia arudishe muamala kwake kisha atume tena upya kwa taratibu za kutuma kwenda mitandao mingine ili uipate katika halopesa yako.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom