Recent content by dexter dexter

  1. dexter dexter

    Huyu dada kanifadhili sana, shida ana sura ya baba

    Mama zangu naombeni kwa moyo mkunjufu mtafute nafasi ndani ya mioyo yenu muweze kunisamehe, nimegundua makosa yangu na nafuta kauli zote zilizowakwaza kwenye maelezo yangu ya kuomba ushauri, Nimegundua makosa yangu, nilipotoka na kuteleza kidogo hivyo kama binadam naomba kusamehewa...
  2. dexter dexter

    Huyu dada kanifadhili sana, shida ana sura ya baba

    Wadau naomba niwasalimu Kuna huyu dada tulisoma wote high school, hatukuwahi kuwa marafiki wala hatukua na ukaribu wowote, yy alikua msongo sana, ni yeye na kitabu, kitabu na yeye, hata hivyo hakua mzuri kama mabinti wengine, ndio maana wengi hatukuhangaika nae Yeye aliendelea na chuo, mimi...
  3. dexter dexter

    Mbowe akiri kumkosea Zitto; Amuangukia!

    Siasa ni siasa tu
  4. dexter dexter

    Siri ya waliotumbuliwa NIDA yaanikwa

    Watumbuliwe tu
  5. dexter dexter

    Nimemfuma shemeji akijisaidia nje, ameumbika, kanichanganya vibaya

    Story za uongo zinakuaga na mkanganyiko, nimezisoma zote mbili sijaona kujichanganya kwa aina yoyote, story ya lift ni ya mwaka mzima nyuma au miezi 6, inazungumzia rafiki wa mkewe aliekua amekuja dar wakati huo, Wakati hii nyingine inazungumzia mdogo wa mkewe wanaeishi nae hapo, kwa kweli...
  6. dexter dexter

    Mrejesho: Mama kaniletea mke bila ridhaa yangu

    Soma story ya kwanza, hukusoma ndio maana umechanganya madawa
  7. dexter dexter

    Mrejesho: Mama kaniletea mke bila ridhaa yangu

    Sasa ulitaka ulambe wote wawili?
  8. dexter dexter

    Marekani kuitikisa Tanzania kwa vikwazo

    Acha vikwazo vije
  9. dexter dexter

    Waziri adokeza vigezo ada elekezi

    Ni kweli kabisa
Back
Top Bottom