dexter dexter
Member
- Jan 29, 2016
- 11
- 10
Wadau naomba niwasalimu
Kuna huyu dada tulisoma wote high school, hatukuwahi kuwa marafiki wala hatukua na ukaribu wowote, yy alikua msongo sana, ni yeye na kitabu, kitabu na yeye, hata hivyo hakua mzuri kama mabinti wengine, ndio maana wengi hatukuhangaika nae
Yeye aliendelea na chuo, mimi nilikwama sikupata principle pass za kuweza kuchaguliwa nikaazimia nitaunga unga unga hela ikipatikana
Almost 7 yrs later tukagongana mjini, akiwa kwenye usafiri wa nguvu, in short since that day akawa resi sana, mara tutoke usiku, mara movie, akawa anajitongozesha, tukawa wapenzi, mapenzi yaliponoga tukahamia kwenye nyumba yake aliyokua anajenga, tumekaa humo kwa miaka 2 na tuna mtoto sasa wa mwaka na nusu
Sasa analazimisha tuhalalishe uhusiano wetu kwa kufunga ndoa, kwa kweli amenitoa juu ya mawe hadi somewhere, nimekua mtu wa maana, yeye yupo kazini, mimi nasimamia biashara za kwake ambazo sasa ni kama zimekua za kwangu,
Shida ni kuwa kwa kweli alichukua sura ya baba yake, yaani huyu mtoto wetu kama isingekua ni mimi sijui angefananaje, thank god alifanana na mimi kila kitu, nyumbani kwetu pamoja na kuwa nimewafanyia mengi kwa hela za huyu dada lakini kuna minong`ono mingi sana, kwamba G alimtoa wapi huyu binti, hata marafiki zangu tukikaa sehem tukiondoka nyuma ni maneno hadi nakosa raha, nakua na avoid kutoka nae
Sasa hili la kufunga ndoa ndio bomb shell, nimekua nakwepa hoja hiyo kila mara, sasa kuna huyu mdogo wangu wa kike ni wa mwisho kwetu, amem recommend rafiki yake kipenzi kwangu, nimeshakaa kunywa nao mara kibao, ambapo sister kila mara ananishauri achana na hilo dubwana umuoe rafiki yangu katulia,
Sasa wadau mlikua mnasemaje? Maana huyu rafiki wa mdogo wangu ni mzuri hasa, amejazia, kifuani kumenyooka wima sidiria haiitajiki, halafu ana adabu sana, huniamkia shikamoo kila tukikutana hata tukiwa wawili tu, ila hatujafanya chochote zaidi ya kutoka out tu
Sasa sijui mlikua mnasemaje?