Recent content by Devla

  1. D

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    njoo Singida manispaa nije Mbeya idara sekondari
  2. D

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    mwl idara sekondari tubadilishane uje Singida mjini mi niende Mbeya wilaya yeyote
  3. D

    JamiiForums Tanzania Uzi maalumu kwa wote wanaohitaji mikopo mbalimbali ya kifedha

    Najitahidi kuweka picha nashindwa kutokana na aina ya simu ninayotumia, nikimpata mtaalam nitamuomba anisaidie kama ataweza, asanteni
  4. D

    JamiiForums Tanzania Uzi maalumu kwa wote wanaohitaji mikopo mbalimbali ya kifedha

    Habari, Ndugu zangu nimepatwa na tatizo la dharura nahitaji mkopo wa elfu 30. Marejesho baada ya wiki mbili, Riba asilimia 20, dhamana godoro jipya sijawahi kulalia la nne kwa sita. Napatikana Mbeya vijijini maeneo ya Mbalizi, jinsia yangu mwanamke.
  5. D

    JamiiForums Tanzania Mikopo ya vitotozi incubator, mizinga ya nyuki na vifaranga vya kuku

    nitafika ofisi kwenu kwa maelezo zaidi nipo makete
  6. D

    JamiiForums Tanzania Fursa: Nufaika kupitia simu yako ya mkononi

    nimekuinbox
  7. D

    JamiiForums Tanzania King'amuzi kinauzwa Bei 65,000/=

    kama upo siriaz nipo mbeya natafuta balaa
  8. D

    JamiiForums Tanzania Mashine ya kupasulia mbao

    wadau nina kaka yangu yupo makete anataka mashine ya kupasulia mbao mwenye taarifa zinakopatikana kwa mkoa wa mbeya au dar na bei zake
  9. D

    JamiiForums Tanzania Nafuta Kiwnja

    Kwa wana JF wa Mbeya, natafuta kiwanja maeneo ya Salaga Uyole
  10. D

    JamiiForums Tanzania KWANINI???? Wanaofundisha ujasiriamali si wajasiriamali

    mi nadhani kuongea na kutenda mara nyingi hakuendi sambamba ila kusikiliza na kutenda ni rahisi zaidi
  11. D

    JamiiForums Tanzania Msikie huyu mlevi......

    nomaa sana
  12. D

    JamiiForums Tanzania Utani Mwingine Bwana

    Mwafrika Akiendesha baiskel anasafiri, mzungu akiendesha baiskeli anafanya zoezi
  13. D

    JamiiForums Tanzania Kuhusu Hazina

    Nasikia wanatoa mikopo yenye riba ndogo mwenye uelewa juu ya hl tunaombaa ufafanuzi wadau
  14. D

    JamiiForums Tanzania Majina ya vitu na watu ambayo hayapaswi kutamkwa kwenye baadhi mikoa

    Lokholo! Jogoo halina shda kwetu utonwang'iye
  15. D

    JamiiForums Tanzania Watanzania Wenzangu Tuzikumbuke Shule Zetu za Msingi Tulizosoma

    Hapana, mi wa 91-97 tumesoma na akina mago, tegemea mlowe
Back
Top Bottom