Majina ya vitu na watu ambayo hayapaswi kutamkwa kwenye baadhi mikoa

Midavudavu

JF-Expert Member
Jan 23, 2012
287
59
Jamani kuna baadhi ya majina ya vitu na watu hayatamkwi kwenye baadhi ya mikoa nilipata aibu Mtwara mfano;

1. Mkoa: Mtwara, Majina ambayo ni matusi lakini Dar si matusi; Niliuliza embe ng'ongo bei gani, Nikasema nina rafiki yangu anaitwa Mr. Mwandu walinicheka sana.
2..................................................................
3...........................................................
4............................................................


Endelea tafadhali kama kuna jina la mtu au kiti kwenu ni tusi ili tukifika huko tusilitumie neno hilo au tujue wenyeji wanatamka vipi. Mfano Mtwara embe ng'ongo inaitwa embe gongo.
 
Ndakukunda ku lukundo lwei Mana(nakupenda kwa upendo wa mungu)Kinyarwanda__ukitaka balaa kayaseme hayo Mkoa wa Mara kwa Wajita
 
Kunyaranyara ni Jina kwa wajita, kwa waha mh... Maswa kwa wafipa Ukisema wafwa
 
Back
Top Bottom