Recent content by Devil's Driver

  1. Devil's Driver

    Yanga msitufanye watoto

    Hiyo pesa haitolewi sasa, mpaka mechi zote za makundi zichezwe na ijulikane wa kwanza hadi wa mwisho. Hiyo milioni 600,ni za timu itakayokamata mkia. Yanga wana uhakika wa kuzipata hata kama watakamata mkia, lakini si sasa.
  2. Devil's Driver

    Nimesikitishwa na Mkurugenzi wa TAA kuwaondoa wafanyakazi wa mikataba bila kuwapa nafasi ya ajira

    Hutolewa na utumishi Sent from my C2004 using JamiiForums mobile app
  3. Devil's Driver

    Nimesikitishwa na Mkurugenzi wa TAA kuwaondoa wafanyakazi wa mikataba bila kuwapa nafasi ya ajira

    Si kweli kwamba wote walikuwa wameingia kwa migongo ya ndugu zao. TAA ilikuwa inawatumia ikisubiri serikali iruhusu kuajiri.
  4. Devil's Driver

    Nimesikitishwa na Mkurugenzi wa TAA kuwaondoa wafanyakazi wa mikataba bila kuwapa nafasi ya ajira

    Nimesikitishwa na kinachofanywa na Mkurugenzi mkuu wa Mamlaka ya Viwanja vya ndege Tanzania (TAA) kuwaondoa wafanyakazi wa mikataba bila kuwapa nafasi ya ajira wakati Karibu wote wana sifa za kitaaluma na kazi walizokuwa wanazihudumu. Wengine TAA yenyewe imewasomesha kozi mbalimbali na...
  5. Devil's Driver

    Waziri wa Mambo ya Ndani, Mwigulu Nchemba: Naagiza aliyemtolea bastola Nape Nnauye, achukuliwe hatua

    Kwan clouds fm wamefungua kesi wapi ya kuvamiwa na Makonda?
  6. Devil's Driver

    Bombardier Q400 yapata hitilafu Mwanza

    Baadhi ya Watz mnasikitisha sana. Suala la ndege kupata matatizo ya kiufundi ni kitu cha kawaida haijalishi ni pangaboi au jet. Fastjet leo ni siku ya tatu ndo safari zake za kuja Mwanza kwa ndege yao ya usiku ndo zmerudi kwenye ratiba zake za kawaida. Kabla ya hizi siku ndege zao zilipata...
  7. Devil's Driver

    Ndege Mpya ya ATCL katika picha

    Hii Boeing ilikuwa ya kukodi
  8. Devil's Driver

    Startimes Tanzania: Support thread (maswali, maoni na ushauri)

    Hello startimes mimi nipo Mwanza lakini Clouds Tv haionekani lakin kwenye vipeperushi inaonyesha kuwa ipo lakin haionekan. Nina king'amuzi cha antena na ninatumia kifurushi cha Mambo
  9. Devil's Driver

    Mwenyekiti wa Yanga, Yusuf Manji ameamua kujiuzulu nafasi yake

    Wachezaj wanakaguliwa km abiria wengine wanapotumia viwanja vya ndege
  10. Devil's Driver

    Accountanty angetosha kujumlisha matokeo sio IT?

    wakachunge tu ng'ombe kwan mipango ya kuiingiza nchi vitani imeshindikana
  11. Devil's Driver

    Hotuba ya Kikwete imeharibu kabisa ufungaji wa kampeni za Magufuli

    Inaonekana ukawa wana mtindio wa ubongo. Alichosema JK hajaharibu kwa Magufuri bali amemvua nguo EL. Leo tumejua kwnn EL anahusishwa na Richmond. Waliosikiliza hotuba hiyo leo wameujua ukweli juu ya wizi alioufanya mpk akafukuzwa uwaziri mkuu. Ukawa mpeni kura Magufuri acheni kukaririshwa km kasuku
  12. Devil's Driver

    Mnaoipenda CCM Nisikilizeni kwa makini sana

    Nawashangaa sana kuwananga wanaoshabikia ccm!! Hivi nchi inaporuhusu mfumo wa vyama vingi c lzm watu wawe kwny itikadi tofauti?? Chaajabu ni kp,ww km unaipenda cdm,baki na cdm yako na wa ccm abaki na ccm yake. Tunachohitaji ninyi cdm mje na hoja yenye mashiko na c kubeza anachokipenda mwenzio...
  13. Devil's Driver

    Tundu Lissu: Kwanini sikumpokea Lowassa, adai ndiye mwandishi wa Orodha ya Mafisadi

    Kwan kuna ubaya gan kuongelea ya CDM? Mbn nyie mnapenda sana kuongelea ya ccm,mnakerwa na nini?? Subirini popo awenyee aozeshe dari zenu,c mmependa kuuza chama kwa fisadi??
  14. Devil's Driver

    Future ya CCM baada ya Lowassa kung'oka

    uko sawa kabisa umeeleweka,lkn hawa Ukawa tatizo hawataki kujenga hoja na kuueleza ukweli,bali wao wanajua kutukana tu na kutetea waliyokaririshwa na viongozi wao!! Kuhama Lowassa wanaona washashinda uchaguzi kumbe lzm wajue kwamba wafuasi wengi wa ccm waliridhishwa na jina la Maguguli kuwa...
Back
Top Bottom