Recent content by Developer_tz

  1. D

    JamiiForums Tanzania Basi la Mwendokasi limeua mtu Kariakoo, Dereva Bodaboda wamshambulia Dereva wa Mwendokasi

    Gerezani au Msimbazi? Enewei naunga mkono hoja barabara ijengewe kingo imebanana sana hapa boda wanapita kama vichaa,Watembea kwa miguu nao wanapita vibaya mno..Jumlisha ule uendeshaji wa Mwendokasi watatuua sana mbwa hawa
  2. D

    JamiiForums Tanzania Kabla dini za kigeni kuletwa Afrika, wazee wetu waliabudu nini?

    https://youtu.be/HCI2dh-8rq8
  3. D

    JamiiForums Tanzania App za bure zinaingizaje hela?

    Nipo hapa hutojuta
  4. D

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Lamine Yamal mwenye miaka 17 ana mtoto wa miaka mitatu

    Huyo ni dogo lake fatilia Jua kali achana na mpira hujui kitu sawa?
  5. D

    JamiiForums Tanzania RC Chalamila: Wafanyabiashara Wadogo wa Simu2000 wafahamu kuwa eneo walilopo ni la Serikali, lazima liendelezwe

    Wengi watamdhihaki ila Yuko SAHIHI dsm kila sehemu wanataka kuweka Mabanda kila sehemu wanataka waifanye ya biashara
  6. D

    JamiiForums Tanzania Ipi Biashara nzuri kati ya hizi?

    Acha kabisa
  7. D

    JamiiForums Tanzania Ipi Biashara nzuri kati ya hizi?

    "Kazi kipimo cha utu" Tupambane humuhumu
  8. D

    JamiiForums Tanzania Ipi Biashara nzuri kati ya hizi?

    Kwa hapa stand wauza chipsi ni wengi mnoo
  9. D

    JamiiForums Tanzania Ipi Biashara nzuri kati ya hizi?

    Sawa Mkuu
  10. D

    JamiiForums Tanzania Ipi Biashara nzuri kati ya hizi?

    Salaam Wakuu!! Ni muda wa kuweka vyeti kabatini na kuamua kuchakalika Sasa katika Elimu niliyopewa ni kuanzisha Biashara unique..Na kuanzisha Biashara unique ni changamoto. Mimi mkazi wa Mwanza nimefanya Tafiti nikagundua Biashara ya supu ya pweza ni adimu sana na hii ni kwasababu ya...
  11. D

    JamiiForums Tanzania SoC04 Vita dhidi ya uraibu wa kamari na vilevi vikali, kuinusuru Tanzania tuitakayo

    Suluhisho rejea kwenye uzi nimeweka bayana
  12. D

    JamiiForums Tanzania SoC04 Vita dhidi ya uraibu wa kamari na vilevi vikali, kuinusuru Tanzania tuitakayo

    Kwahiyo hiyo ndio suluhisho la umaskini?
Back
Top Bottom