Recent content by Deus F Mallya

  1. Deus F Mallya

    Wakati wa mimi kusema umefika

    Salaam! Kwa muda Mrefu nimekuwa nikipata msukumo unaonitaka kuzungumzia maneno yaliyosambaa mitandaoni na kwenye vyombo vya habari hivi karibuni kutoka kwa ndugu ma makundi mbali mbali. Kimsingi sintajibu wanayotaka kwa sababu nimeendelea kupokea jumbe za Matusi na kejeli hata kuvamiwa na...
  2. Deus F Mallya

    Hii gari itanigharimu shilingi ngapi mpaka kuitoa bandarini?

    Naapa kwa jina la Marehemu babu yangu hakuna Harrier ya 3,000USD.. Pengine binaadamu wenye uzoefu na pikipiki hudhani kuwa hata magari is the same price. Samahanini kwa kuapa. Be serious jamani.
  3. Deus F Mallya

    Exchange rate

    Mkuu hebu jaribu kujaza nyama kwenye Uzi huu. Unataka kutuma pesa kutoka Ulaya kwenda wapi?
  4. Deus F Mallya

    Mkopo wa haraka kwa riba nzuri unahitajika

    Nimeshapata kutoka sehemu nyingine mkuu.
  5. Deus F Mallya

    Mkopo wa haraka kwa riba nzuri unahitajika

    Nadhani sikueleweka wadau. Anayetafutwa ni mkopeshaji siyo mkopeshwaji. Samahani kwa usumbufu mlioelewa tofauti.
  6. Deus F Mallya

    Jamani mimi ni mgeni nisaidieni

    Wasubiri watakuja sasa hivi!
  7. Deus F Mallya

    Mkopo wa haraka kwa riba nzuri unahitajika

    Mkuu, Kama ukipenda kukopesha bila riba itakuwa vyema pia.
  8. Deus F Mallya

    Mkopo wa haraka kwa riba nzuri unahitajika

    Salaam Unahitajika mtaji wa HARAKA kwa lengo la kufanyia tender ya dharura (Supply) kwenye taasisi fulani. Mkopo unaotakiwa ni kiasi cha Tzshs. 3,000,000/= ambapo malipo yake yatafanyika ndani ya siku 45 yakiwa na riba ya 10,000/= kwa siku. Aliye tayari ani PM kwa makubaliano ya awali kabla...
  9. Deus F Mallya

    Wapi kwa kupata hizi bidhaa kwa bei ya jumla

    Salaam, Hizo bidhaa kwa ujumla wake na kwa bei rahisi utapata China kwenye miji ya Hong kong au Guangzhou. Unaweza kwenda mwenyewe (Ikiwa una pesa nyingine ya flight na Hotel accommodation) na hiyo 10mil ukafanya ya kununua bidhaa. Hata hivyo nasita kukuhakikishia kuwa faida utakayokuja kuipata...
  10. Deus F Mallya

    Wenye matatizo ya nguvu za kiume dawa ipo.

    Hahahahahaha... This is crazy! Jamaa mnachekesha tuliokasirika
  11. Deus F Mallya

    Madini ya rubi

    Biashara ya madini ni biashara huria. Unaweza kupata mteja mzuri ukauza pesa nzuri, na unaweza kumpata dalali ukaangukia pua. Hata hivyo quality na size ndivyo vinavyo toa bei. Ukikutana na mtu kwenye mitandao akakupa bei huyo unapaswa umuangalie mara mbili. Kwa serious business call 0684622200
  12. Deus F Mallya

    Software & Applications Developer Anahitajika

    Salaam, Anahitajika mtu mwenye uwezo tajwa hapo juu, awe na uwezo mzuri sana kwenye masuala mengine muhimu ya IT. Ni kazi ya mkataba kwa siku chache. Contact Person: 0684622200
Back
Top Bottom