Zaidi ya vyama 15 vimebaki bungeni, unavifahamu?

Zaidi ya vyama 15 vimebaki bungeni, unavifahamu?

Huu Utitiri wa Vyama ndio umechangia kupunguza idadi ya Watu kujitokeza kupiga Kura Maana siasa imegeuka Kuwa Miladi ya watu wajanja.
 
Aise umesahau chama cha mre mrema ameogopa kutoka eti kibandiko kitapeperuka na upepo.
 
1.JAZI
2.ADP
3.AFP
4.TADEA
5.UPDP
6.CCK
7.CHAUSATA
8. SAU
9. UNB
10. DP
11.NLD
12.NRA
13.CHAUMA
14.UDP
na kingine kimoja. Just for information

Hicho chama kwenye namba ya kwanza ni jazi ya msondo au?
 
1.JAZI
2.ADP
3.AFP
4.TADEA
5.UPDP
6.CCK
7.CHAUSATA
8. SAU
9. UNB
10. DP
11.NLD
12.NRA
13.CHAUMA
14.UDP
na kingine kimoja. Just for information

Vyama vyengine ndio vikawa vinakosa mpaka kura za wake zao kwenye uchaguzi.
 
1.JAZI
2.ADP
3.AFP
4.TADEA
5.UPDP
6.CCK
7.CHAUSATA
8. SAU
9. UNB
10. DP
11.NLD
12.NRA
13.CHAUMA
14.UDP
na kingine kimoja. Just for information
Katika msafara wa mamba kenge nao wamo!!!
 
Katika msafara wa mamba kenge nao wamo!!!
Kinaitwa Jahazi asilia. Humo wamepanda wale wote wasiotaka katiba mpya na wanajitahidi kupiga makasia ili JAHAZI LIENDE lakini wanatoka jasho sana maana jahazi limekosa MAJI. Sijui kama safari itafika salama. Leo nimemuona nahodha akiwakumbuka mabaharia hodari waliotosa na kutumbukia kwenye maji kuwaokowa wananchi na kaahidi kuwatafuta ili kuzungumza nao kuja kusaidia maarifa ili chombo(jahazi) kiende. NAPITA TU KUWASALIMIA WANA JF.
 
Back
Top Bottom