Wapi kwa kupata hizi bidhaa kwa bei ya jumla

Wapi kwa kupata hizi bidhaa kwa bei ya jumla

muggyen

JF-Expert Member
Joined
Jan 1, 2014
Posts
347
Reaction score
254
Habari zenu wana jf
Nina idea kubwa sana ya kuleta change
Nataka ninaanze kuuza gadgets kama smartphones,laptops na game consoles na game discs kwa mtaji wa 10 millions wapi naweza pata hizo bidhaa
Je nifunge safari kwenda nje au ninunue online na vipi kuhusu changamoto zilizopo hasa kwenye masuala ya kodi
Tafadhali kama una experience na hili usisite kufahamishana hasa kuhusu wapi unanunua bidhaa na kuzileta tz na pia je hizo bidhaa ni original na sio fake kwani hio ni challenge kubwa
 
We idea hta ya kujua hzo gadget zinapatikana wp huna sasa hyo changes unaileta vp sokoni?je tayari una ofice ya kuuzia mzigo wako nje ya hyo mil10?
 
Hio so shida
Muhimu ni wapi pa kupata kwa bei nafuu nataka niziuze kwa best affordable price
 
We idea hta ya kujua hzo gadget zinapatikana wp huna sasa hyo changes unaileta vp sokoni?je tayari una ofice ya kuuzia mzigo wako nje ya hyo mil10?

idea ya upatikanaji wa hizo gadget inatafutwa ndugu, naye kaamua kuanzia hapa sababu anaamini atatoka na kitu so kama una lolote msaidie
 
We idea hta ya kujua hzo
gadget zinapatikana wp huna sasa hyo changes unaileta vp sokoni?je
tayari una ofice ya kuuzia mzigo wako nje ya hyo mil10?

Mkuu, huyu ana idea ama wazo anaomba asaidiwe taarifa ili alifanyie kazi, sioni ubaya katika hilo, criticism haifai!
 
Nashukuru kwa kumwelewesha Majigo&gazzillionaire
 
Last edited by a moderator:
Salaam,
Hizo bidhaa kwa ujumla wake na kwa bei rahisi utapata China kwenye miji ya Hong kong au Guangzhou.
Unaweza kwenda mwenyewe (Ikiwa una pesa nyingine ya flight na Hotel accommodation) na hiyo 10mil ukafanya ya kununua bidhaa. Hata hivyo nasita kukuhakikishia kuwa faida utakayokuja kuipata italipa gharama ulizotumia kwenye safari na kodi utakayotozwa.

Alternative II
Angalia soko lako au bidhaa unazoamini zitauzika kwa wingi kisha wasiliana na wakala yeyote umpe hilo jukumu kwa maana ya mkataba akuletee japo kwa mara mbili au tatu za mwanzo unaweza kupata faida ya kwenda mwenyewe na mtaji utakuwa umepanda kiasi cha kutosha.
 
Habari zenu wana jf
Nina idea kubwa sana ya kuleta change
Nataka ninaanze kuuza gadgets kama smartphones,laptops na game consoles na game discs kwa mtaji wa 10 millions wapi naweza pata hizo bidhaa
Je nifunge safari kwenda nje au ninunue online na vipi kuhusu changamoto zilizopo hasa kwenye masuala ya kodi
Tafadhali kama una experience na hili usisite kufahamishana hasa kuhusu wapi unanunua bidhaa na kuzileta tz na pia je hizo bidhaa ni original na sio fake kwani hio ni challenge kubwa

Idea kubwa sana ya kuleta change kwa nani?
BTW, brand gani za smartphone ulizoona zinahitajika sana katika soko lako? Umejipangaje kupambana na agents ambao tayari wapo Tanzania na wako established kama SAMSUNG, SONY, iSTORE na wengineo ambao mitaji yao ni mamia ya milioni!? Pesa uliyonayo ni ndogo ndugu unawaza pakubwa mno bora, hiyo ni pesa ya simu kama kumi tu!!!
 
mkuu hilo wazo ni zuri sanaa
lakini kama unataka kufanya biashara ya mrengo huo huo basi inabidi ununue kwa hapa hapa tanzania kwa wanaouza kwa jumla then anza kwa duka lako ukikusanya mtaji zaidi

vinginevyo si lazima kufanya hiyo biashara tu zipo nyingine nzuri zenye faida ya 100% tena kwa kiasi hicho hicho cha pesa then ukawekeza faida ukaanza kwenda nje kwa ajili ya vifaa vya smartphones

kikubwa ni uvumilivu
 
Mkuu nichek after next week mimi huwa naleta electronics from Dubai..sijawai hizo games lakini consoles na mashines kama PS huwa naleta pamoja na TVs na hometheatres...bei ni za jumla na utacompare mwenyewe..
 
Jamani kama una experience naomba unisaidie ,nashindwa kuelewa huyo mtu aliesema 10 millions ni sawa na smartphone 10 tu.
Au alkua anamaanisha smartphone gani?
Na pia kwani huo mtaji ni mdogo sana kwa ajili ya biashara hio?na kama ni mdogo natakiwa niwe na kiasi gani cha feza ili nifanikishe zoezi hilo?
Maoni yenu ni muhimu sana kwangu
Natanguliza shukrani
 
Habari zenu wana jf
Nina idea kubwa sana ya kuleta change
Nataka ninaanze kuuza gadgets kama smartphones,laptops na game consoles na game discs kwa mtaji wa 10 millions wapi naweza pata hizo bidhaa
Je nifunge safari kwenda nje au ninunue online na vipi kuhusu changamoto zilizopo hasa kwenye masuala ya kodi
Tafadhali kama una experience na hili usisite kufahamishana hasa kuhusu wapi unanunua bidhaa na kuzileta tz na pia je hizo bidhaa ni original na sio fake kwani hio ni challenge kubwa

Hiyo mil 10 bora utngeneze green house ulime nyanya tu
 
Idea kubwa sana ya kuleta change kwa nani?
BTW, brand gani za smartphone ulizoona zinahitajika sana katika soko lako? Umejipangaje kupambana na agents ambao tayari wapo Tanzania na wako established kama SAMSUNG, SONY, iSTORE na wengineo ambao mitaji yao ni mamia ya milioni!? Pesa uliyonayo ni ndogo ndugu unawaza pakubwa mno bora, hiyo ni pesa ya simu kama kumi tu!!!

ddah! Sim kumi? Hapa mtoa inatakiwa awe na moyo wa uvumilivu. Lasivyo idea itafia hapa hapa
 
Jamani kama una experience naomba unisaidie ,nashindwa kuelewa huyo mtu aliesema 10 millions ni sawa na smartphone 10 tu.
Au alkua anamaanisha smartphone gani?
Na pia kwani huo mtaji ni mdogo sana kwa ajili ya biashara hio?na kama ni mdogo natakiwa niwe na kiasi gani cha feza ili nifanikishe zoezi hilo?
Maoni yenu ni muhimu sana kwangu
Natanguliza shukrani

Nimekuuliza smartphones gani unataka kuleta?
ndugu hivyo vitu ni slow moving, hiyo pesa utajuta kuitumbukiza kama unataka izae haraka. mbona biashara ziko nyingi, yaani mtu mwenye 10M hata akileta nguo humkamati na simu zako hizo, angalia profit margin!
 
ddah! Sim kumi? Hapa mtoa inatakiwa awe na moyo wa uvumilivu. Lasivyo idea itafia hapa hapa

huo ndiyo ukweli ndugu yangu, haya masmartphones kila siku yanatoka mapya, kwa hiyo na yeye anatakiwa alete zilizo current, bei ya iPhone 5s si unaijua? Galaxy S5? HTC One? Zingekuwa zinatoka haraka si mbaya hata kama ni faida ndogo, sasa zinakwenda taratibu, na yeye ndiyo kwanza anaanza biashara anapambana na waliojiwekea mizizi tena wanaotumia majina ya manufacturer wenyewe! Hiyo 10M akienda china au Thailand akabeba mikoba ya wanawake kwa elf tano tano akija huku anayauza elf30 na yanatembea kama karanga za kuchoma!:loco:
 
Ila no way i learn from mistakes
 
Daaaah now i know
Dont tell people your dream, show them
Lakini i will never back down

hahaha, hatukukatishi tamaa bana, toka nilivokuuliza brand ya simu unazotaka kuzileta ili nikupe mchango wangu wa wapi pa kununua hautaki!!! kama unataka chinese smartphones (trust me, ziko vizuri na watu watanunua kwa sababu ya bei chini kidogo) sema pia!
 
Nko hapa kwa ajili ya kujifunza sio kubisha
Kwani cybertech biashara nguo yaweza kunipa profit kubwa sababu kwa dar watu wengi huenda kununua nguo kkoo na hivi sasa sio rahisi kupata frem kariakoo na kama maduka ya nguo kama ya mwenge lets say sijaona kama yana mauzo makubwa ya nguo ila labda wewe mkuu unaona vipi
Narudia tena wanajamvi nipo hapa kujifunza sio kubisha maoni yenu juu ya hili tafadhali
 
Back
Top Bottom