Recent content by destiny1

  1. D

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ijue sababu , kwa nini condoleeza rice hana mume!

    Msinichanganye mie..........:wink2:
  2. D

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Waogope wanaume na wanawake wanaojipenda na watanashati kwenye mapenzi ya kweli.

    Mie nabisha. tena sana tu haina uhusiano. kwanza nyie standard zenu za kujipenda ni zipi? justification tu kwa wasiowatanashati
  3. D

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanawake Wenye ndevu wana utofauti Wa kipekee

    Duu, sasa huyu inabidi aende babashopu.
  4. D

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanawake Wenye ndevu wana utofauti Wa kipekee

    We bujibuji taratibu zunguka nyuma tuongee kwa dirishani bana, baba nanii akikuona atakuja na marungu. Halafu Mmasai
  5. D

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanawake Wenye ndevu wana utofauti Wa kipekee

    Hahahahah yani leo mmeniacha hoii, huwa zikitokea tu nazichomoa fasta, kuanzia sasa nitakuwa naziacha huku natembeza kidevu juu juu hahahahahah
  6. D

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanawake Wenye ndevu wana utofauti Wa kipekee

    Atleast ina logic, mimi ni risk taker sana. Nafanya ninachokiamini, hapo labda
  7. D

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanawake Wenye ndevu wana utofauti Wa kipekee

    Nina midevu, na sijafanikiwa kimaisha wala kimapenzi. Sio kweli..............
  8. D

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mapenzi ya Jf Yamenitokea Puani

    wakubwa shkamooni na mnisamehe, today I have finally confirmed. Hakuna mapenzi ya ukweli ya kukutana kwenye mitandao Tanzania, labda huko nchi za wenzetu ambao wanaweza kuwa wanatumia hii mitandao kuwanufaisha. Wewe kama hukumpenda ulimbanjua wa nini?
  9. D

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwanamke amtaliki mumewe mahakamani kwa tabia ya uropokaji usio na mipaka...!

    Jamani na hata tabia ya kugombana kwa sauti ya juu inakera mno, mtu mwingine anatoka nje anakutukania huko wakati wewe uko ndani ili tu majirani wasikie jamani..... yani inakera usiombe. Bora mgombane kichini chini ndani mkitoka nje mnajikausha na tabasamu za uongo uongo. inaleta heshima.
  10. D

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwanamke achoma moto range rover sport ya boyfriend wake kisa wivu

    Duuu! yesu na mariiiiiaaaa! yani katupa pesa yote hapo chini kiruuuuuuu! huyu ni kiasaka wa kike aiseeee!
  11. D

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Simpendi hata kidogo

    Anakupenda sana, na wewe ungekuwa unampenda wala usingesema anakucontrol, ungetii kila anachokuambia. Muache kaka wa watu ampende anayestahili
  12. D

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nikaona maiti zao..!

    Hii story ni kama imejirudia hapa JF au macho yangu?
  13. D

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania sifa za wanaume wenye vitambi

    Wamewasingizia sana, hasa namba saba.
  14. D

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Special kwa wadada wa mmu wenye mambo haya

    huu mkitambi wangu dah! makavu laivu....
  15. D

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jamani wanaume wachaga ni hatari...!

    :) wala.
Back
Top Bottom