Sahihi kabisa
Mambo ya kuitana PM kuna kaharufu flani kanakuja na kukataa
Ila Vizuri share na Wote kama mtoa mada alivyouliza kwa wote ni public knowledge tuu
Au unataka ukamsokote kwa pembeni
Nashukuru sana Kiongozi
Cha kushangaza Hela anamaliza mapema tuu na Hela ya Saloon utaombwa kila Mwezi
Mpaka kuna nafikiri kumuacha tuu.
Maana mwaka Juzi ndio nilianza kumpa hela Lumpsum hivo lakini Shida kubwa na inayokatisha Tamaa ni kwamba huwa hasemi Ahsante mpaka leo hii.
So sad this...
Ahsante Mkuu
Hakuna nilipozidisha au kupunguza/kubana zaidi?
Maoni yako muhimu tafafhali
Isije kuwa namtesa Mtoto wa Watu au kumnyanyasa kwa hizo bajeti zangu
Mimi kipato Changu ni cha kuunga unga
Mara nyingi huwa kuna issue nasikilizia.
Kila Mwisho wa Mwezi huwa nampa 900,000/= TZS cash kwa Matumizi yafuatayo
1. Chakula cha Mwezi mzima (Mimi + Yeye + Dada wa kazi + Mtoto Mmoja)
2. Bills za Umeme
3. Maji
4. King’amuzi Azam
5. Mshahara wa Dada wa...
Hyo Apple Music
Ina nyimbo za kibongo
Ina Videos pia au ni audio tuu
Unadowloqd Unlimited?
Ukiacha kulipia Downloaded Content zinafutika?
Kwa Mwezi bei gani?
Comment nzuri sana
Me pia miaka kama mitatu iliyopita nilipata Changamoto kama yako.
Wangu nilimuwekea mpaka wadada wa kazi wawili lakini visingizio haviishi
Kuwa mkweli nilichepuka live kabisa na mpaka akajua
Tuliongea yakaisha na akajirekebisha akili zikamkaa.
Chuma hunolewa na Chuma...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.