Ronnycinchy
JF-Expert Member
- Oct 1, 2011
- 2,086
- 7,121
Kuishi kwingi kuona mengi...bado nakua...najiandaa kukutana nao.[emoji6][emoji6]Wee unaoongelea ni exceptions...mie ongelea wale majority
Kuishi kwingi kuona mengi...bado nakua...najiandaa kukutana nao.[emoji6][emoji6]Wee unaoongelea ni exceptions...mie ongelea wale majority
Hela ya dharuraaHappy fathers day...
Kwa wale mlioa, tunaokaa na wachumba zetu au wapenz zetu kuna mada hii inatuhusu. Eti kuna haja ya kuacha pesa ya matumizi kwa mkeo/mpenzi kama ndani kila kitu kipo? Mfano fridge ina kila kitu, mchele sijui unga upo yan takataka zote zipo yaani yeye ni kupika tu.
Sasa nauliza kuna haja ya kumwachia pesa? Na kama unaacha uache kias gan? Wale wazoefu tusaidiane.
unatakiwa uache japo 5000
Ukifsnya hivyo hakikisha awe ana kazi au biashara.
Lakini akiwa hana cha kumfanya ashike hela huwa wanalalamika sana.
Wanakuwa hawana hela za kushika mkononi.
Laiti mngejua jinsi wanavyolamika mngekuwa mnawapa tu hela hata hizo nyama wakanunua wenyewe.
Ila wanaume jamani ndo maana mnaitwa mafurushi.
Mimi tu nikiwa natoka labda namuacha dada lazima niache mezani buku au buku 2.
Na hapo nimeondoka nimeshapika chakula wao ni kupakua tu.
Nikikuta kaktumia anasema ametumia vipi akiwa hajatumia naikuta safi.
[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787]
Njie ndo mnataka wake zenu hata akitamani soda tofauti na iliyokuwa kwenye friji mpaka akuambie.
familia kama hii ni kuuwana asa me nakumbusha ancle wangu alikuwa akiacha hela ya matumizi 10000 muda mwingn inakata muda mwingine inabakiKujaza friji sio kukamilisha kila kitu we jamaa sasa kama huamini jaza kila kitu alafu alafu acha elf kumi mezani kama ukirudi utaikuta.
Sasa we kaulize imetumika kwenye nini kama ujaambiwa "ata haijatosha"[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
Sio kuana mkuu ukizoea ni jambo la kawaida tu ukizoea maana huach kila siku unaacha tena unajidai umesahau kwenye surual kama kifuta jasho nae anywe soda ya moto.familia kama hii ni kuuwana asa me nakumbusha ancle wangu alikuwa akiacha hela ya matumizi 10000 muda mwingn inakata muda mwingine inabaki
Kujaza friji sio kukamilisha kila kitu we jamaa sasa kama huamini jaza kila kitu alafu alafu acha elf kumi mezani kama ukirudi utaikuta.
Sasa we kaulize imetumika kwenye nini kama ujaambiwa "ata haijatosha"[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
Fanya Kama Mimi, Wewe wacha mzigo wa mwezi mzima Kama 1.5mil inatosha kabisa,Wajazie na umeme basi. Watanunua wenye mahitaji yao ya mwezi mzima.
Wewe aliyekuoa anafaidiSio lazima, ila inapendeza kuwa na hela ya dharula.
Kiasi gani? Hapo inategemea na kipato chenu/chako.....
Kwani ukiacha isipotumika? Kesho una haja ya kuacha tena?
hahahhahhahahahahaa aua dada nimekuelewa kwa kweliIla wanaume jamani ndo maana mnaitwa mafurushi.
Mimi tu nikiwa natoka labda namuacha dada lazima niache mezani buku au buku 2.
Na hapo nimeondoka nimeshapika chakula wao ni kupakua tu.
Nikikuta kaktumia anasema ametumia vipi akiwa hajatumia naikuta safi.
[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787]
Njie ndo mnataka wake zenu hata akitamani soda tofauti na iliyokuwa kwenye friji mpaka akuambie.
Ipo sana mkuu lazima uache fedha ndani kama emergency tu,kinaweza kupita kitu chochote cha kununua!! Sie binadamu anaeza akaumwa ghafla akaita ubber au kuchukua bodaboda kwenda hospital.Happy fathers day...
Kwa wale mlioa, tunaokaa na wachumba zetu au wapenz zetu kuna mada hii inatuhusu. Eti kuna haja ya kuacha pesa ya matumizi kwa mkeo/mpenzi kama ndani kila kitu kipo? Mfano fridge ina kila kitu, mchele sijui unga upo yan takataka zote zipo yaani yeye ni kupika tu.
Sasa nauliza kuna haja ya kumwachia pesa? Na kama unaacha uache kias gan? Wale wazoefu tusaidiane.
Igawanye kwa mwezi, mbona pesa ndogo tu, Kama 50k kwa siku..1.5m??? Au umekosea type