Recent content by Desert Lion

  1. Desert Lion

    JamiiForums Tanzania Raphael Chegeni, ulijidai chawa na kutoa kejeli kwa Magufuli naona leo umeyapata majibu!

    Cheki hili nalo udini udini tu umewakaa kichwani
  2. Desert Lion

    JamiiForums Tanzania Raphael Chegeni, ulijidai chawa na kutoa kejeli kwa Magufuli naona leo umeyapata majibu!

    Yani kweli wewe ni boguz tena boguz la kufa mtu umekaa ki udini udini tu yani pitia orodha ya wakuu wa mikoa yote alafu angalia waislam ni wangapi na wakristo ni wangapi ndo utajua wewe ni bogazi bogazi kabisa unanuka udini na ukabila, kama hujui ni kuwa, Idadi ya wakuu wa mikoa wakristo ni...
  3. Desert Lion

    JamiiForums Tanzania Mitandao ya Twitter na YouTube haipatikani Tanzania bila VPN | Septemba 07, 2021

    Mpo nchi gani nyie Ambao mpaka mtumie VPN ndo Youtube na Twitter inafunguka[emoji848][emoji848][emoji848] Mods Moderator huu uzi unapotosha jamii afu bado upo tu
  4. Desert Lion

    JamiiForums Tanzania Kuna siku Tanzania itapata haya...

    Ndoto za Mchana Hayawezi kutokea bila ya Wenye nchi kuamua
  5. Desert Lion

    JamiiForums Tanzania ACT Wazalendo: Serikali Zambia iache kunyanyasa na kuwakamata wapinzani

    Haezi Tangazwa tupo hapa utanambia
  6. Desert Lion

    JamiiForums Tanzania Nauona mwisho wa CCM

    Sasa CCM itoke madarakam alafu chama gani kiingie sasa [emoji15][emoji15]Sijaona chama cha upinzani ambacho kipo tayari kuongoza Tanzania kwa maslah ya wa Tanzania [emoji419] Viongozi bora watatoka CCM tu siku zote, Usiku mwema
  7. Desert Lion

    JamiiForums Tanzania Baada ya kubainika ufisadi wa kutisha, anataka kujifichia kwenye Mradi Bandari ya Bagamoyo?

    Kwa Mujibu wa katiba yetu Rais Akivunja bunge tunarudia Uchaguzi wa Rais na Mbunge sasa Samia haezi kubali hayo Bado hajajitengeneza na kujiimarisha vizuri kisiasa Ajaweka Alama yake bado so Anaeza akazaragazwa kwenye Uchaguzi wa Marudio So Hapo hakuna jinsi Tusubiri 2025 au lolote litakalotokea...
  8. Desert Lion

    JamiiForums Tanzania Tanzania na Vifurushi vipya vya Data na Sauti (Aprili 2021) - Mwitikio wa wananchi

    Muasisi wa Upuuzi huu
  9. Desert Lion

    JamiiForums Tanzania Baada ya Kifo cha Rais Magufuli: Nani anafaa kuwa Makamu wa Rais Tanzania?

    Kigogo ni mwanaume fatilia post yake ya usiku huu
  10. Desert Lion

    JamiiForums Tanzania Saddam Hussein, C.I.A & Italian Intelligence Service: Tuhuma za wizi wa Uranium Powder (Yellowcake) kutoka migodi ya kampuni za Ufaransa nchini Niger!

    Pole sana napenda makala zako nitazipata wapi zote please kama una website au sehem yoyote tunapoweza kuzipata plz tuambie
  11. Desert Lion

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jinsi ya ku-highlight sentensi au maneno kwa rangi humu JamiiForums

    nimekosea sijui
  12. Desert Lion

    JamiiForums Tanzania Je, naweza kuchaguliwa shule ya Serikali?

    Na vipi kuhusu mwenye 3 ya 23 akiwa na hist D kiswa B labg B geo D Phy D bio ,C chem D civ D na math F ni wa kike anaeza akaenda kweli
  13. Desert Lion

    JamiiForums Tanzania Kwanini waliosoma UDSM wanapenda kuweka “UDSM alumnus/alumna” kwenye bio za social media?

    Hivi kwa nn JF hawajaweka option ya kuandika bio watu tuanze kuandika UDSM Alumnus
Back
Top Bottom