Inawezekana hata hicho kiburi kilikuwa kinatokana na mimba...Hapo ulipokuwa unaishi naye kabla ya kuhama hakuwa na rafiki au mtu aliyemzoea sana? Kama yupo nenda kwa huyo huenda akakusaidia.
Nilikuwa najua water guard ndio husafisha maji, kuna mtu hapa kaniambia kuwa hiyo mi dawa ya kienyeji ya kusafishia maji pia hutumika kurudisha virginity. Now I know.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.