Recent content by DeoMic

  1. DeoMic

    JamiiForums Tanzania Acha kuuza mchanganyiko unapoteza muda, akili na Pesa zako, shtuka

    Hiyo haiwezekani, ni lazima vyakula viwe mchanganyiko
  2. DeoMic

    JamiiForums Tanzania Wanaume wenzangu mnisaidie naenda kupoteza mchumba

    Umeua mzeee
  3. DeoMic

    JamiiForums Tanzania Watu wa Afya tuchukue lipi mbona kila chakula hakifai kwa mujibu wenu? Nyie huwa mnaishije?

    Mwenye majibu haya ni yule Profesa aliyeteuliwa makao makuu ya nini, nimesahau.
  4. DeoMic

    JamiiForums Tanzania Tanzania yaomba msaada China kukamilisha ujenzi wa miundombinu ya AFCON 2027

    Ni baada ya mirija ya mabeberu kukata.
  5. DeoMic

    JamiiForums Tanzania Iran - Nchi inayohofiwa zaidi ulimwenguni na Marekani kuliko Taifa lolote lile duniani

    Nchi ambayo, raisi mwenye nchi ambayo inajulikana ndio yenye nguvu, fedha, teknolojia na intelejensia kubwa duniani (Trump) anaogopa itamuua. 😂😂😂😂😂
  6. DeoMic

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Uume wa mtoto ukidondokewa na kitovu chake huacha kusimama

    Na hapo hapo ukivaa nguo nyekundu unapigwa radi.
  7. DeoMic

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Uume wa mtoto ukidondokewa na kitovu chake huacha kusimama

    Ulishuhudia wapi?
  8. DeoMic

    JamiiForums Tanzania Nina haki kama binadamu ya kupenda tena

    😅😅😅😅😅
  9. DeoMic

    JamiiForums Tanzania Mabadiliko ya kweli Tanzania yatapatikana iwapo tu viongozi waliofanya mauaji watashtakiwa ICC na Mahakama nyinginezo za nje

    Ikiwa tu Watz wataungana na wakuwa wamoja na kuweka tofauti zao pembeni, kwa kufanya hivi haya yote yatawezekana.
  10. DeoMic

    JamiiForums Tanzania Uchumi wa Tanzania unaangamia kwa siasa za uchawa

    Tuliambiwa mabeberu wanatuonea wivu, sasa imekuwaje? Siasa kwenye masuala ya uchumi hazifai sana.
  11. DeoMic

    JamiiForums Tanzania Sijawahi kuona kampuni mbovu kama Star Times

    Hakuna kampuni iliyobora, kampuni zote ni yaleyale tu.
  12. DeoMic

    JamiiForums Tanzania GE2025 Waliohamia CHAUMMA warudi CHADEMA na kuomba viongozi wawapokee

    Wamekosa maslahi kule, wakaanzishe chama chao kipya
  13. DeoMic

    JamiiForums Tanzania Licha ya Tanzania kutajwa kuwa na Viwanda 28,000 ila hatumo kwenye orodha ya Nchi 10 Za Viwanda Africa. Tumezidiwa na Zambia, Tunisia n.k

    Mara hii mmesahau! Tanzania ina nini kuliko USA na ULAYA?
  14. DeoMic

    JamiiForums Tanzania TANZIA Mkurugenzi wa Idara ya Mawasiliano ya Ikulu ya Zanzibar, Charles Hillary afariki dunia

    Mwendo umeumaliza nasi tupo nyuma yako twaja.
Back
Top Bottom