Recent content by deograsias mambas

  1. D

    JamiiForums Tanzania Mkurugenzi atumbiliwa kimyakimya kwa madai si kada wa CCM

    Kama uteuzi umetenguliwa kwa sababu so kada wa ccm, basi uteuzi umelenga uchaguzi mkuu wa 2020. Lakini mkuu wa kaya alisisitiza kuwa siasi ziwekwe kando hadi 2020. Au in ile tafsiri ya siasa maana yake ni: si hasa?
  2. D

    JamiiForums Tanzania Mtaalamu wa Dawa na Tiba: Ninakaribisha maswali kuhusu Magonjwa, Tiba na Dawa

    Nikizinduka usingizini najikuta macho ni makavu sana (dry eyes). Ili niweze kuona inanibidi nisubiri kwa muda wa dakika Moja hivi ndio macho yanarudia hali yake ya unyevu. Huu ni ugonjwa gani na tiba yake ni nini?
  3. D

    JamiiForums Tanzania Mbinu za kukufanya usizeeke upesi

    Asante, umegusa sehemu zote.
  4. D

    JamiiForums Tanzania Nyerere Hakuwa na mapungufu, alikuwa Kiongozi Mbovu!

    Mleta mada anadhihirisha chuki aliyonayo kwa JK kwani mapungufu aliyotaja ni ya kutengeneza na wala hayana uhalisia wowote. Aidha mleta mada ametumia nguvu nyingi kutengeneza mapungufu ya the great leader of Africa. Wakenya wanastruggle hadi leo kufuta ukabila nchini mwao, kitu ambacho...
  5. D

    JamiiForums Tanzania Balozi Juma Mwapachu atangaza kurejea CCM...

    Je, kwenye vyama vikubwa vya siasa kutoka nchi za Ulaya na America, mambo kama haya ya kubadili vyama kama magari yapo? Naomba majibu wana JF.
  6. D

    JamiiForums Tanzania Imechukuwa Miaka 50 kwa Makonda kuliona hili??!

    Mtu anaejipendekeza ili apate cheo ni hatari sana. Kwanza alijipendekeza kwa kuvuruga mdahalo wa Katiba mpya. Lakini pia alijipendekeza kwa kufunga kamba za viatu vya mtoto wa rais!
  7. D

    JamiiForums Tanzania Masoud Kipanya atabiri hali mbaya kwa CHADEMA

    Kwa kawaida, changamoto zinapokuwa kubwa na nyingi, ndio mafanikio yanakuwa makubwa. So mimi najua cdm na upinzani kwa ujumla utaimarika zaidi na zaidi. Bravo upinzani.
  8. D

    JamiiForums Tanzania Kigwangalla usipotoshe kuhusu Katibu Mkuu Dkt. Mashinji

    Mimi namshangaa Magu kumponda rais mstaafu(Kikwete) Kuwa katika serikali yake alikuwa amezungukwa na wanafiki. Lakini ukiichambua kwa makini serikali ya Magu akiwemo Kigwa utagundua kuwa imesheheni wanafiki kuliko serikali ya Kikwete.
  9. D

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri Mwanza: Mkutano Mkuu wa Baraza kuu CHADEMA - (Uchaguzi wa Katibu Mkuu wa Chama)

    Upinzani imara ni kichocheo kikubwa kwa maendeleo ya nchi. Bravo CHADEMA!
  10. D

    JamiiForums Tanzania Wa mwisho ndiyo mshindi

    Mawazo mazuri hutoa matokeo mazuri na mawazo mabaya Hutoa matokeo mabaya.
  11. D

    JamiiForums Tanzania Wa mwisho ndiyo mshindi

    Mawazo mazuri hutoa matokeo mazuri na mawazo mabaya Hutoa matokeo mabaya.
  12. D

    JamiiForums Tanzania Waziri January Makamba katika kashfa nzito ya kifisadi

    Mimi sishangazwi na kubainika kwa Makamba kuwa mpiga dili ikulu. Sishangazwi kwa sababu yeye amekuwa akijigamba kuwa ana uzoefu wa muda mrefu ikulu. Tukumbuke kuwa awamu zote mbili: za Mkapa na Kikwete zilisheheni wapiga dili.
  13. D

    JamiiForums Tanzania Joshua Nassari aiombe radhi CHADEMA

  14. D

    JamiiForums Tanzania Kulikuwa na sababu Magufuli kutoa amri kwa Mawaziri wake mbele ya Vyombo vya Habari?

    Mimi sioni sababu ya msingi zaidi ya kufanya promo
  15. D

    JamiiForums Tanzania Kulikuwa na sababu Magufuli kutoa amri kwa Mawaziri wake mbele ya Vyombo vya Habari?

    Mimi sioni sababu ya msingi zaidi ya kufanya promo.
Back
Top Bottom