Ndalama
JF-Expert Member
- Nov 22, 2011
- 8,787
- 6,542
Hahaha na kweli tuliibiwa, nani aliyeiba mkuu?Mie nilitabiri 'Mtaibiwa kura' kwny Uchaguzi Mkuu na hilo likatokea.
Hahaha na kweli tuliibiwa, nani aliyeiba mkuu?Mie nilitabiri 'Mtaibiwa kura' kwny Uchaguzi Mkuu na hilo likatokea.
Sawa, nimekuelewa lakini Unawaonaje wapiga kura jinsi wanavyo swing na upepo?! Ndo wasi wasi wangu.Kuna mwaka wowote ule mwana ccm aliwahi kuitabiria mazuri cdm? Au kuna mwaka mwana ccm aliwahi kuipongeza cdm?hizo ni bhangi na muendelezo wa kujipendekeza kwa watawala ili kupewa nafasi za kazi kwa huruma
Teeeeeeeeh teeeeeeeeh, mkuu naona hata hiyo biashara imeshapa ushindani sasa kaamua kutafuta kazi mbadalaJamaa kawa mtabiri siku hizi namshauri aendelee kuchora katuni tu ili apate mkate wake wa siku.
Mkuu unavyosema ku swing nashindwa kukuelewa hivi nilini ktk historia ya vyama vingi toka mwaka 1995 vyama cdm imeshuka na kushindwa kuongeza idadi ya viti vya ubunge?Sawa, nimekuelewa lakini Unawaonaje wapiga kura jinsi wanavyo swing na upepo?! Ndo wasi wasi wangu.
Okay, sawa.Mkuu unavyosema ku swing nashindwa kukuelewa hivi nilini ktk historia ya vyama vingi toka mwaka 1995 vyama cdm imeshuka na kushindwa kuongeza idadi ya viti vya ubunge?
Mimi nakubaliana na kipanya kwa asilimia zote! Unajuwa agenda kubwa ya upinzani iliyowafanya wakubalike kwa watanzania walio wengi hasa vijana ni Rushwa, Ufisadi na matumizi mabaya ya mali za umma. Sasa tangu Lowasa aingie upinzani hoja ya upinzani iligeuka gafla ikawa ndiyo hoja ya Dr John Pombe Magufuli na siyo ccm. Na tangu aingie madarakani amejaribu sana kushughurikia mambo yote yalioonekana ni kikwazo kwa wananchi na ambayo kimsingi watanzania wanayataka, mpaka sasa wapinzani hawana hoja na agenda ya kusimamia tena inayoweza kuwashawishi wananchi kama ilivyokuwa rushwa na ufisadi. Wasipojipanga watapoteza majimbo zaidi ya asilimia 80%
Hahahaha, nimecheka sana mkuuKati ya kipanya na Wassira nani mtaalamu wa kutabiri? Kamuulize Wassira shughuli anaijua?
Amuilize wasira aliyesema chadema itakufa kabla ya mwaka 2015 na wala haikufa akafa yeye.Mchora katuni maarufu nchini Masoud Kipanya ametoa mchoro ambao unaonyesha Basi lenye rangi kama zile za CHADEMA likiwa njiani kuelekea 2020. "point" ya msingi katika katuni hii ni jinsi Kipanya alivyoonesha 2020 kuwa ni MLIMA MKUBWA NA PENGINE USIOPANGIKA KWA CHADEMA. Je huu ni utabiri wa anguko lingine la upinzani 2020
![]()
PAST INAONGELEWA FUTURE INATABIRIWA. !Unaongelea future au past
Mimi nakubaliana na kipanya kwa asilimia zote! Unajuwa agenda kubwa ya upinzani iliyowafanya wakubalike kwa watanzania walio wengi hasa vijana ni Rushwa, Ufisadi na matumizi mabaya ya mali za umma. Sasa tangu Lowasa aingie upinzani hoja ya upinzani iligeuka gafla ikawa ndiyo hoja ya Dr John Pombe Magufuli na siyo ccm. Na tangu aingie madarakani amejaribu sana kushughurikia mambo yote yalioonekana ni kikwazo kwa wananchi na ambayo kimsingi watanzania wanayataka, mpaka sasa wapinzani hawana hoja na agenda ya kusimamia tena inayoweza kuwashawishi wananchi kama ilivyokuwa rushwa na ufisadi. Wasipojipanga watapoteza majimbo zaidi ya asilimia 80%
PAST INAONGELEWA FUTURE INATABIRIWA. !
Mlima huo kwake binafsi, ukijumlisha na wale 46, wa buku saba wamefikia wangapi vile?Huu mlima mbona haupandiki hata iwaje!!! Inamaanisha kuwa Chadema watakuwa waneanda hapo panapoanzia mlima then gali yao itashindwa kupanda halafu itarudi tena nyuma kuanza safari upyaaaaa