Recent content by deo_beda

  1. D

    JamiiForums Tanzania Miika Mwamba vs. Pfunk Majani: Nani alikuwa na biti kali?

    Nini mnataka mazee- Pig black, producer ni Mika Mwamba, na sio P Funk... Angalia link hii ya Mika Mwamba...https://m.youtube.com/watch?v=ztlyM3Gg3qM&t=135s
  2. D

    JamiiForums Tanzania Gari ya push to start kugoma kuwaka

    Maeneo ambapo hizi gari (push to start/press button) zinasumbua sana kuwaka unapozima ni pale junction ya Tazara/ Bakhressa/ Dar Group Hospital/.. Nilikuwa pia napata sana shida, ila suluhisho ni kuweka hiyo sensor (funguo) palepale kwa start button unapo switch on gari yako..
  3. D

    JamiiForums Tanzania Inauma sana likikukuta hili, mama mjamzito anateseka

    Group yake O negative ni changamoto sana, (ndugu zake wa karibu wangechangia ingekuwa rahisi kidogo kupata hilo group). Lkn kuna vitu vingine sio rahisi kama tufikiriavyo. Procedure hiyo ingawa ni ya kawaida, ni vema kuwa na standby damu in case anything happens. Suala la blood products...
  4. D

    JamiiForums Tanzania Inauma sana likikukuta hili, mama mjamzito anateseka

    Don't generalize, kuna madaktari na manesi na wafanyakazi wengine wa kada ya afya wanafanya kazi vizuri na kwa ufanisi
  5. D

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mtoto wa kambo wa kaka yangu ni haramu kufanya naye ngono?

    INCEST (/ˈɪnsɛst/ IN-sest) is human sexual activity between family members or close relatives. This typically includes sexual activity between people in consanguinity (blood relations), and sometimes those related by affinity (marriage or stepfamily), adoption, clan, or lineage.
  6. D

    JamiiForums Tanzania Scrub na maambukizo ya UKIMWI

    Maambukizi ya VVU yangelikuwa rahisi hivyo basi kila mtu angelikuwa amekwisha ambukizwa. Kana kwamba scrub inaleta mchubuko kati ya mtoa na mpewa huduma?!, Kwanza ngozi ya viganjani ni ngumu na stahimilivu kulinganisha na ile ya private parts. Hizo ni stories za kijiweni na hazina ukweli wowote..
  7. D

    JamiiForums Tanzania Tuhuma dhidi ya Zitto kuhongwa magari: Nimrod Mkono akanusha!

    watanzania inabidi tu-change our mindsets.. we need to change the positiveness & high hopes we have towards politicians.. wote wako sawa tu.. we are biased when it comes to choosing sides.. Mbowe's supporters will always be blinded to look on his shady side, and the same applies to Zitto's...
Back
Top Bottom