Recent content by Deo

  1. D

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli amewadhalilisha Maaskofu mbele ya Sherehe za BAKWATA

    What/Which is the standard measurement???????????
  2. D

    JamiiForums Tanzania Israeli strikes in Syria

    f-35 will not help - YouTube
  3. D

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli: Mabepari wametunyang'anya gesi yetu hatuwezi kuitumia kwa uhuru

    Sijaelewa, ametoa taaarifa, amelalamika au vipi? Tufanyenje? Uhakika wa kumuunga mkono kwetu aonyeshe hasira yake na kuchukizwa kwa kuhujumiwa namna hii kwanza kwa kuwanyonga wote waliohusika na suala hili. Hapo tu tutamwamini. Vinginevyo............
  4. D

    JamiiForums Tanzania Naomba kufahamishwa wasifu wa Mkurugenzi wa Wilaya ya Korogwe

    Duh!!!!! Boss hii ni JF ya leo, mpaka leo majibu ni 0.
  5. D

    JamiiForums Tanzania Dr. Bashiru atashindwa kama alivyoshindwa mwenzake Dr. Mukama

    Duh, unashindwa mchezo wa kuigiza? Pole. Kama atamaanisha atashindwa hasa akiwaingilia wale wa zamu yao. Pia uelewe mafisadi kama mafia hupambana kwa families zao. Safari hii hii vita imekuwa motto ya kuingilia. Usijali
  6. D

    JamiiForums Tanzania CCM na Viwanda: Safari isiyo na Kituo (No Destination) - Hakuna Mwendelezo, Ni ‘Management by Hit’

    Ukweli hakuna viwanda ni wishfull thinking. Hakuna sera wala mkakati zaidi ya maneno tu.
  7. D

    JamiiForums Tanzania Ilikuwa ni lazima Masogange afe?

    Mafia
  8. D

    JamiiForums Tanzania Tafsiri ya Kiwanda (factory) na Viwanda (industry's) na majukumu ya Serikali katika hili

    Kunatofauti kubwa kati ya factory na industry. Wataalamu wadadavue. Mfano Kiwanda changuo haiwezi itwa factory inaitwa industry mfano mwatex, urafiki nk. Lakini cha sabuni pekee huitwa factory. Workshop inakazi tofauti nayo inaweza kuwa ndani ya factory au industry. Wataalamu njoni. Kuwa na...
  9. D

    JamiiForums Tanzania Syria:Wenye Nguvu wamepoteza.

    Safi sana. Lakini Je nani anagharimia vita vya IS? Ni yepi mahusiano yao na Israel? Interests za UK na France ni zipi?Interest ya Bomba la gesi ni kwa ulaya nzima nahata kwa Iran pia. UK ni wafitini wakubwa wakisaidiwa na Ufaransa suala la matumizi ya sumu inawezekana si kweli kabisa. lakini...
  10. D

    JamiiForums Tanzania UK rejects US plan about attacking Syria

    Huyu mama sasa na dhani pombe zimepungua. Anajua makombora ya Urusi yatatua London na tena anausongo na Uingereza baada ya uwongo kemikali ya skripal
  11. D

    JamiiForums Tanzania Kumekucha: Je, Marekani inajiandaa kuiadhibu kijeshi Syria?!

    Hali ya Syria inaendeshwa kwa fitna kubwa. Mimi binafsi siamini kama Syria wala washirika wake Urusi na Iran wamefanya hivyo. uwezekano mkubwa ni wapambe wa NATO na Israel ndio wahusika. Uingereza mara nyingi imeikomalia urusi na hasa matamshi ya mara kwa mara ya waziri wa mabo ya nje. hata sumu...
  12. D

    JamiiForums Tanzania Lema: Nimepata taarifa za ndani kuwa ninatafutwa na Polisi baada ya mkutano na waandishi wa habari

    Kwanza hakikisaha kuwa wenyeinchi yao wnaishi kama ashetani
  13. D

    JamiiForums Tanzania Chato Kunatisha: Fedha za miradi za Halmashauri zaliwa

    Mhh napita lakini Je mnamjua mkurugenzi halisi wa hapo au figer ahead tu
  14. D

    JamiiForums Tanzania Wakili Kambole: Abdul Nondo hayupo vituo vyote vya Polisi

    inaonesha dogo kakataa ku compromise. Labda angekubali masharti yote angeachiwa na kuahidi kukaa kimyaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
  15. D

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli aeleza sababu za kutosafiri nje ya nchi

    vipi kutumia uma na kisu kula?
Back
Top Bottom