Ahsante sana kuna vitu nimefaidi hapa, swali transmitter (minara) ya radio hutofautiana nguvu mfao tunakwenda km 50 lakini kV 1000 au km 50 kv 500?, nimeuliza hivi kuna radio nguvu zao za usikivu ni mdogo mno kuliko nyingene kwanini?
Ahsante sana,kumbe ndio maana mikutano ya live wengi hushindwa, hivi kinachofanya studio ya tv mlaji upate picha nzuri ni camera za studio au vitu gani lazima viwe viwepo? Nini tofauti ya sauti kwenye mp 3 na mp4 hivi navyo sivielewi vizuri
Hakika wewe brother ni mtaalamu,elimu yako imetufaa mamumaa wengi ahsante sanaaaa,je gharama matangazo ya live kwenye tv bei huwaje km mikutano hivi au kongamano? Ahsante umenijuza mengisanaaa
Ahsante mhandisi,hivi bongo sheria ya tv ya FTA zimefika ukomo zile tano au leseni ya FTA ni gharama mno? Naona tv mpya zote ziko pay tv hebu nisaidie hilo
Ahsante fundi,mfano azam kuna chanel ni bure mfano clouds na upendo ingawa si za bure kwa mujibu wa sheria,je kama sisi tunaona bure yeye azam anapata nini huku si FTA kisheria? Pili hivi chanel za paytv mfano wasafi je azam anawalipa wasafi au wasafi ndio humlipa azam?
Mfano visimbuzi vile kama strong, Mediacom tulikua tunapata FTA,kama kurusha kwa satellite ni gharama je vile kisimbuzi vinapata masafa kutoka wapi? Harafu mbona chanel ya zbc haiko FTA shida ipi?
Muhandisi hebu saidia hili,startimes wana visimbuzi vya FTA na pay tv,azam zote zina FTA je baada ya antena wao hawawezi zitoa nao au ikoje hii mtaalamu?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.