Recent content by Deo msemwa

  1. Deo msemwa

    JamiiForums Tanzania Ukahaba huu Msamvu Morogoro ni hatari

    Shida kabisa hiyo! Hakuna raha kweenye ukahaba.
  2. Deo msemwa

    JamiiForums Tanzania Iringa: Watu wanne wafariki katika ajali ya Fuso na gari dogo eneo la Nyololo

    Poleni wafiwa,mungu awape moyo wa uvumilivu ktk kipindi hiki kigumu.
  3. Deo msemwa

    JamiiForums Tanzania Ukahaba huu Msamvu Morogoro ni hatari

    Ni shida sana
  4. Deo msemwa

    JamiiForums Tanzania Tujuzane kozi zenye fursa ya ajira na ambazo unaweza ukajiajili

    Kilimo tu cha mbogamboga,utapata pesa kila siku.
  5. Deo msemwa

    JamiiForums Tanzania Baada ya Gwajima, Mbasha Nae Akikana Kichanga Kilichozaliwa na Flora Mbasha

    Shetani kachukua nafasi yake pengine flora hajijui
  6. Deo msemwa

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu asema watoto wake hawawezi kusoma shule za kata

    Yafaa Lisu atengue hii kauli yake,si nzuri kwa kiongozi kama yeye hizo ni dharau mbaya sana,akumbuke hata jimboni kwake kuna shule za kata je wapiga kura wake wamwelewe vipi?
  7. Deo msemwa

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu asema watoto wake hawawezi kusoma shule za kata

    Bila uwepo wa shule kata vijana wengi wasingefika hata vyuo vikuu,shule hizi angalau hata site wakulima vijijini zimesaidia watoto wetu kusoma.nadhani nwenzetu anaonyesha jeuri ya pesa alionayo na si kushauri sasa.lakini hata wapeleke watoto wao ulaya kama hawajui hawajui tu!maisha itakua sawa...
  8. Deo msemwa

    JamiiForums Tanzania Kumbe Hata Wakristo Wana Mahakama Zao?

    Mmmmmmh
  9. Deo msemwa

    JamiiForums Tanzania Mzee Kigwangalla afariki Dunia huko India 8 Feb 2015

    Poleni sana,bwana alitoa na bwana ametwaa jina la bwana lihimidiwe!
Back
Top Bottom