Pole mheshimiwa Dr. Kigwangala kwa kumpoteza mzee wako wakati huu ukiwa katika harakati za kugombea urais. Naamini mzee wako alikuwa mshauri wako katika mambo haya ya kisiasa.
kumbe ile habari iliyowahi kuwekwa humu kwamba Mh. Kigwangala kamteleza baba yake haikuwa na mashiko, si ndio yeye alimpeleka India kwa matibabu. Sasa kama alimtelekeza imekuwaje ampeleke kutibiwa.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.