Recent content by Deo bony

  1. D

    JamiiForums Tanzania Love stories

    Wow that waz a very gud start..go on go buddy hahah cant wait 4 the next episode
  2. D

    JamiiForums Tanzania tujikumbushe maneno ya wahenga!

    Vyakutwanga vianike angali jua lingalipo! 2.mchuzi wa mbwa unywe ungali wa moto. 3. Raha ya sebene mtu uichezee kenele 4. Kina cha fikra hakipimwi kwa kamba. 5. Mchuzi wa kibua mkabidhi mzigua
  3. D

    JamiiForums Tanzania Zakayo angepanda hii badala ya kiupanda mkuyu

    Teh teh teh! Unabalaa ww
  4. D

    JamiiForums Tanzania Huyu jamaa n noma

    Mzinzi alihukumiwa kifo, lakini mahakama ikampa nafasi yakuchagua kifo gani afe, mzinzi akasema, nipeni k*ma yenye sumu niinyonye mpaka nife.... JAJI akasema, "kum*m*ko unataka ufe huku unapata raha?
  5. D

    JamiiForums Tanzania Mitoto mingine kwakutopenda shule bwana

    MITOTO MINGINE KWAKUTOPENDA SHULE BWANA Baada ya mwizi kuvamia nyumba moja usiku na kuiba vitu vingi wakati akijiandaa kuondoka ghafla anadakwa mguu na dogo.. Dogo akamwambia mwizi usipochukua na begi langu la shule NAPIGA KELELE! mwizi akaduwaaa.
  6. D

    JamiiForums Tanzania Ulevi noma

    Walevi waliokota kioo Mlevi mmoja: Kakitizama kioo kwa muda halafu akasema "Hii sura sii ngeni ila jina silikumbuki." mwenzie akachukua kioo kuangalia akasema: "We mlevi kwelikweli, si mimi huyu, halafu unajidai hunijui...? "Dah!...ulevi noma"
  7. D

    JamiiForums Tanzania Mitoto mingine kwakutopenda shule bwana

    MITOTO MINGINE KWAKUTOPENDA SHULE BWANA Baada ya mwizi kuvamia nyumba moja usiku na kuiba vitu vingi wakati akijiandaa kuondoka ghafla anadakwa mguu na dogo.. Dogo akamwambia mwizi usipochukua na begi langu la shule NAPIGA KELELE! mwizi akaduwaaa.
  8. D

    JamiiForums Tanzania Mijitu mingine bhanaaa...

    Kuna shoga m1 alikua bar anakunywa bia, mara akasikia nyimbo inaimba hv, "wanaume 2meumbwa mateso kuangaika" yule shoga akasema eheee niljua 2 ndio maana nikajtoa uko mapemaaa!!
  9. D

    JamiiForums Tanzania Heslb mambo yameanza kupakuliwa

    ki2 kishatoka mbona waltangaza jana startv
  10. D

    JamiiForums Tanzania Mzee wa Kibondei

    Hiiivyo kumbe teh,teh,teh
  11. D

    JamiiForums Tanzania Tupia lako ulilosoma kwenye gari...

    1. Tamu haiishi hamu 2. Ndama hafunzwi kunyonya 3. Maji ya moto hayachomi nyumba 4. Msuli sisimizi matokeo tembo
  12. D

    JamiiForums Tanzania Mbavu zangu jamani, teh,teh,teh....

    Baba alimuuliza mwanae nikikupiga huwa hasira zako unamalizia wapi? Namalizia chooni. Huko chooni unamalizia vipi? Huwa nasafisha tundu la choo kwa kutumia mswaki wako unaotumia kila siku! Baba kazimia mpaka leo!....
  13. D

    JamiiForums Tanzania Kweli hapa mke hakuna

    nmekupata mkuu
  14. D

    JamiiForums Tanzania Kweli hapa mke hakuna

    Thanx myn!
  15. D

    JamiiForums Tanzania Unyama unyamani

    Madenge alikuwa kwenye basi lenye abiria wengi. majambaz wakawavamia na kuwapora simu na usipotoa "una chomwa sindano ya damu ya ukimwi" watu waka toa lakin madenge hakutoa akachomwa ile sindano watu waka muuliza mbona umekubali? akajibu" "WALIKUWA HAWAJUI KAMA NIMEVAA KONDOM.! ! ! ! !
Back
Top Bottom