Recent content by Denyoma

  1. D

    JamiiForums Tanzania Nikifanya hiki kitendo kwa mwanamke, nini kitatokea?

    Duh! Nilidhani nimeona na kuskia yote kumbe bado!🫡🫡🫡
  2. D

    JamiiForums Tanzania Mchumba wangu ameenda CCP Moshi

    Kwahy mdada anatakiwa akae nyumbani awe anasubiria mshahara wa mume? Ikiwa alikuwa ashatafuta nafasi na akapata? Aiache kwasababu gani? Na huyo kaka umeskia anaenda kusoma nje ya nchi, ikitokea akapata mchumba mwingine huko yy huyu wa huku atabakije?
  3. D

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri, nimempa ujauzito mwanamke anayenizidi umri, pia ana watoto wawili

    Ss mbona muda wa kujuta ushaisha? Kubali kuwa utakuwa baba ! Mwandalie mwanao mazingira mazuri!
  4. D

    JamiiForums Tanzania Hapa kuna upendo au natumika nifungueni macho

    Au familia yake iko mbali na yeye! Miezi sita kwa mwanaume aliye serious ni mingi! Mwingine angekuwa ashakwambia ukamsaidie kufanya usafi!
  5. D

    JamiiForums Tanzania Hapa kuna upendo au natumika nifungueni macho

    Kuna kitu hakipo sawa, jaribu kumfatilia zaidi! Na ikibidi mpigie simu nyakati mbaya ! Yn usiku mnene uone atapokea? Na je atakuwa huru kuongea?! Utapata jibu sahihi.
  6. D

    JamiiForums Tanzania Naomba mnishauri kuhusiana na huyu dada yangu mkubwa

    Hilo unasema kwa kubuni tu hauna uhakika
  7. D

    JamiiForums Tanzania Girlfriend wangu anatoa sana namba yake ya simu kwa wanaume wengi

    Soma kwanza mapenzi baadae! Hata hvy kwa umri wake hachukulii kama ana mpenzi! Anajifurahisha tu
  8. D

    JamiiForums Tanzania Serikali ya Tanzania yaondoa zuio la Mazao ya Kilimo kutoka Malawi

    Vizuri! Wafanyabiashara wetu waendelee kimataifa
  9. D

    JamiiForums Tanzania Mke amejifungua mtoto wa kichina

    Kitanda hakizai haramu! Huyo wako!
  10. D

    JamiiForums Tanzania Inakuwaje mdada pisi kali, anatembea na mwanaume mwenye muonekano wa kienyeji?

    Fahali wawili hawakai zizi moja😃
  11. D

    JamiiForums Tanzania Nimempenda msichana mrembo aliyezaliwa na HIV, nifanye nini?

    Ni vema kufika kituo cha ushauri nasaha mkiwa pamoja!
  12. D

    JamiiForums Tanzania Wana MMU nisaidieni, nifanyeje?

    Achana nae usiforce! Ya nini uje utapike bure! Kuna mtu atampenda na hiyo kasoro hataiona! Ww kama umeiona humpendi mwache aende
  13. D

    JamiiForums Tanzania Wanandoa kununiana mwisho inatakiwa kuwa siku ngapi?

    Wanaume mliopo ndoani, tafuteni suluhu nyingine kwenye matatizo yenu! Kipigo si suluhu!
Back
Top Bottom