Recent content by denti

  1. D

    JamiiForums Tanzania Namba hii 0657105692 ni tapeli

    Mtu mwenye namba tajwa hapo juu ni tapeli kwani leo mchana ametuma msg kwangu kama inavyosomeka hapa chini; ''hello am Mr. Frank from verju supermarket Dsm, tupo kwenye kikao tunapitia cv za kuinterview for cashier post, cv yako ni nzuri, nataka nikusaidie upate kazi kwa masharti yafuatayo...
  2. D

    JamiiForums Tanzania Write down your favourite and inspiring quote(s)

    "Rasimu hii ya jaji warioba ikipita nitaingia porini" john komba
  3. D

    JamiiForums Tanzania 'Mizigo' hii ilikuwa haikutajwa na Kinana na Nape

    Ha ha ha ha haaaa! huyo mzee wa division 5 sijui anasubiri nn me hata simwelewi na yule mwenzake aliyeshindwa kufanya presentation huko nje! aibu sana hawa mawaziri mizigo kwelikweli. umemsahau na yule mama wa tamisemi aliyeshindwa kupambana na ubadhirifu katika halmashauri.
  4. D

    JamiiForums Tanzania Nafasi za Kazi TANROADS!!

    jamaa hawaeleweki hao hata tangazo lao la nafasi ya cashier linakinzana nimeshindwa kutofautisha haya maneno "overqualified applicants will not be considered" na "higher qualification will be considered". kiufupi hao jamaa wazushi sana nafasi zao ni za upendeleo.
  5. D

    JamiiForums Tanzania Tume ya utumishi wa mahakama imeishaita watu kwenye interview?

    subiri tutakuita
  6. D

    JamiiForums Tanzania muoneni huyu jaman

    dah! huyo jamaa kanitumia sms kama hiyo jana,ni msanii huyo hana jipya. ila cha kushangaza cjajua taarifa kwamba natafuta kazi kazipata wapi
  7. D

    JamiiForums Tanzania wanajamvi naomba mnipe taarifa kama tume ya utumishi wa mahakama wameita watu kwenye iinterview

    yeyote mwenye taarifa ya tangazo la usaili la tume ya utumishi wa mahakama anipe taarifa,naomba kuwasilisaha!
  8. D

    JamiiForums Tanzania Immagration call 4 intarview

    tafadhali wanajamvi mwenye gazeti la mwananchi la tarehe 6/5/2013 anijulishe namba yangu ya cm ni 0653543623
  9. D

    JamiiForums Tanzania Natafuta boyfriend atakayekuwa mume wangu baadae!

    ni pm nikupe mapenzi ya dhati nina shahada ya uzamivu kwenye malavi davi!!!!!!!!!!!
  10. D

    JamiiForums Tanzania mshahara wa supplies assistant

    wanajamii forum naombeni mnijuze kiasi cha mshahara anachostahili kulipwa supplies assistant iwe kwenye taasisi binfsi au zile za umma
  11. D

    JamiiForums Tanzania mshahara wa mtu mwenye atec 2 ya nbaa

    poa mkuu kwa ushauri wako mzuri
  12. D

    JamiiForums Tanzania mshahara wa mtu mwenye atec 2 ya nbaa

    wanajamvi naomba mnisaidie kujua mshahara wa mtu mwenye acconting technician certificate level 2 ya bodi ya taifa ya uhasibu na ukaguzi wa mahesabu.
  13. D

    JamiiForums Tanzania Tanzania na Ajira za Kujuana

    wataje kiongozi wamezoea hizi ni zama za ukweli na uwazi, lakini tutafika tu pindi tutakapopata viongozi wenye nia ya kweli ya kutukomboa sisi wanyonge
  14. D

    JamiiForums Tanzania natafuta mwanaume mwenye mapenzi ya dhat!

    Poa nipe nafasi hiyo upate mapenzi ya dhati namba yangu ni 0653 54 36 23
  15. D

    JamiiForums Tanzania natafuta mwanaume mwenye mapenzi ya dhat!

    unaishi wapi? mimi nipo dar kama vp nipatie cellphone number yako tuwasiliane zaidi
Back
Top Bottom