Recent content by denooJ

  1. denooJ

    Peter Madeleka: Kutishia watu kuwapeleka Magereza ili wateseke ni Ushamba na ulimbukeni. Kuuza bandari za Watanganyika ni ufisadi

    Vyombo vya habari siku hizi vimekuwa vya hovyo sana, vinaandika umbea wa kumfurahisha mtawala tu, ndio maana nimefuta app zote za news kwenye simu yangu, anzia Mwananchi, Ayo wote... Bora nibaki na Al Jazeera, BBC, na Sky.
  2. denooJ

    DAWASA, mmeanza rasmi kutoa maji ya chumvi?

    Kwa maana nyingine na mgao wa umeme umeanza.
  3. denooJ

    Nimeacha kusikilizwa hotuba zake hazina matumaini kabisa

    Afadhali wewe umeacha kusikiliza hotuba, mimi hata kusikiliza zile clip zake wanazopenda kuziweka Radio One najiskia kuumwa, hiyo sauti imekuwa kama kelele za chizi masikioni pangu.
  4. denooJ

    Peter Madeleka: Kutishia watu kuwapeleka Magereza ili wateseke ni Ushamba na ulimbukeni. Kuuza bandari za Watanganyika ni ufisadi

    Sijui kwanini unaishi maisha ya hofu sana, unachoandika hapa ni kama vile huiamini intelijensia ya Chadema, kitu ambacho binafsi sioni maana yake. Haya mambo ya siasa siku zote hayapo static, kama hamtaunganishwa kwa sera zenu, lazima kuna mambo yatakayojitokeza yatakayowaunganisha, na pale...
  5. denooJ

    Nani yuko Nyuma ya hizi taasisi za kumsemea Rais. Je, zinaendeshwa kwa ufadhili wa fedha za nani? Na Nini hasa makusudio Yake?

    Sishangai mjinga kutafuta watu wa kumsemea, hiyo ni kwasababu kichwa chake ni cheupe kisicho na kitu ndani. Mwerevu hata siku moja hawezi kutafuta watu wa kumsemea, tena wakijaribu ndio atawafukuzilia mbali, kwasababu ana hofu wanaweza kuongea ujinga wakamharibia heshima yake ... Lakini kwa...
  6. denooJ

    Tabia ya Kususasusa ni sehemu ya Sera ya CHADEMA. Nawashauri wasusie na Uchaguzi Mkuu wa 2025

    Sioni ubaya kususia ujinga, ila namshangaa mjinga anayewashangaa wanaofanya hivyo.
  7. denooJ

    Utendaji mbovu wa BRELA unaathiri uchumi wa nchi. Rais Samia tafadhali shughulika na taasisi hii

    Rushwa imeanzia kule juu kwa huyo unayemtaka ashughulike nayo chini, ule mkataba wa hovyo wa bandari umethibitisha hivyo, sasa unapomwambia kiongozi wa wahuni awaadhibu wahuni wenzie sioni kama upo sawa. Unatakiwa useme Samia anatakiwa kujiuzulu, nchi imemshinda, hajui anachofanya.
  8. denooJ

    Happy birthday Freeman Aikael Mbowe

    Leo unataka akuvushe, kesho ukiamka na wanzuki kichwani humtaki, we kamanda michosho sana.
  9. denooJ

    Rais Samia Unafanya Vizuri so far Don't Be Tempted!

    Bandarini nako amefanya vizuri? Una mahaba ya kitoto sana. Bandarini amefanya ujinga mkubwa unaoligawa taifa, ajabu wewe unasema amefanya vizuri!.
  10. denooJ

    Askofu Kilaini: Ni Wajibu wa Viongozi wa Dini kutetea maadili na Utawala bora

    Sasa kwanini viongozi wa dini wakikemea uovu mnawafunga midomo kisa wao sio wanasiasa? Kama mnawakubali mpaka kuwaita viongozi wa dini, kwanini tena mnawalazimisha wavue majoho ili kuwakemea? hamuoni wakivua majoho hawatakuwa tena viongozi wa dini? Nani aliyewapa wanasiasa haki ya kusema hapa...
  11. denooJ

    Tetesi: UKAWA Mpya kuzaliwa, hakutakuwa na ACT

    Wewe chawa wa mama kila siku unakuja na tetesi zisizo eleweka, ulianza na Warioba kutaka kuhamia upinzani kisa anaupinga ule mkataba wa hovyo wa bandari, muendelezo wako ndio unakuja na hii ya UKAWA ili umuweke tena Mzee Warioba kwenye wale watakaojiunga huko.. Wacha utoto, mtu kupinga jambo...
  12. denooJ

    Kuchokwa huku, CCM ijitafakari

    CCM imetuletea janga lingine linaitwa Samia.
  13. denooJ

    Joseph Kasheku: Kuwaondoa Wamasai Ngorongoro ni kama Serikali haijafanya Utafiti, Wamasai ni Rafiki wa Mazingira na hawachomi mkaa

    Leo kayaona Ngorongoro, lakini kule kwa mwarabu wa bandarini hakuyaona, au kwasababu waarabu wana mkono mrefu walimtuliza?
  14. denooJ

    Watanzania adui yetu mkubwa ni CCM na mfumo wake

    Kwa sasa tatizo letu kubwa kabisa ni Samia na ujinga wake, huyu akiachwa bila kuambiwa ukweli anaweza kutupeleka utumwani hata hao CCM wenzake waje kukosa wa kuwatawala. Kwanza tuanze ku deal na hiki kichwa kibovu kinachotuongoza kilichopoteza mwelekeo, kinachotupeleka shimoni, naamini ni...
Back
Top Bottom