Recent content by denny92

  1. denny92

    Mali za Kijerumani

    Unapajua twende unipeleke kijana
  2. denny92

    Mali za Kijerumani

    Kama unajua eneo hilo naomba unipeleke december nita gharamia nauli yako
  3. denny92

    Mimi ni muathirika wa UKIMWI

    Hivi jamaa yangu unajua kwanza niko wapi [emoji23][emoji23] au unazani mimi nimuuza dawa au tapeli!!! Huku ulaya kuna taarifa dawa jamaa aligundua wakamshusha chini xaxa kuna baadhi wanajua formula ya kutengeneza fala ww
  4. denny92

    Mimi ni muathirika wa UKIMWI

    Aisee kijna basi tufanye umeshinda hakuna dawa sawa... ila ungejua kinachoendelea alafu uko tanzania unasubiri mpka taarifa upate kutumia internet wakati weusi huku wanauwawa kisa wasitoe dawa [emoji848][emoji1545] Sent using Jamii Forums mobile app
  5. denny92

    Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?

    Kuna nyimbo zilikuwaga na video ila nikienda youtube najuta cover tyu kama banza stone elimu ya mjiga kina viwete wanacheza hatar, kuna crazy t lekambuke yuko na dokii,kuna mr Paul nakuzimia yuko na demu wa kihindi Sent using Jamii Forums mobile app
  6. denny92

    Mimi ni muathirika wa UKIMWI

    Uko dunia ipi rafiki nenda google au tafuta mawasiliano ya familia ya dr sebi wakupe formula ya matunda ya asili hakika utapona huo ugonjwa husipo amini ni wewe na maisha yako.dawa ipo ila mzungu hawezi kuruhusu watu wajue........ Sent using Jamii Forums mobile app
  7. denny92

    Ni hakika, Adam na Eva si binadamu halisi wa kwanza!

    Yaani mtu anakuita nyani leo hii tena wanakurushia maganda ya ndizi alafu unakuja kusema hata marehemu Charles Darwin alingundua ilo wakati na yeye ni mzungu AMKA mwaafirika ww xio nyani ila wazungu ni uzao wa falling angels Sent using Jamii Forums mobile app
  8. denny92

    Ni hakika, Adam na Eva si binadamu halisi wa kwanza!

    Piga ua ila waraabu hakutambui kama ni ndugu yako na anakunyanyasa mpka mwisho wa dunia hii Sent using Jamii Forums mobile app
  9. denny92

    Ni hakika, Adam na Eva si binadamu halisi wa kwanza!

    Anaekubagua kwa ulivyoubwa na mungu ndy kafir Sent using Jamii Forums mobile app
  10. denny92

    Ni hakika, Adam na Eva si binadamu halisi wa kwanza!

    Je wewe unaweza kumuua ndugu yako kisa dini tofauti ?? Sent using Jamii Forums mobile app
  11. denny92

    Ni hakika, Adam na Eva si binadamu halisi wa kwanza!

    Unaweza niambia nani kafiri kati ya rafiki yako uliyekuwa nae mtaa mmoja tangu mdogo ila ni mkristo au aliyekuleta dini na kukuza kama samaki mpka leo hii anakubagua kisa rangi ila unae fanana nae kila kitu kasoro ww ni ally yeye ni john ndy kafiri?? Amka mwaafrika Sent using Jamii Forums...
  12. denny92

    Ni hakika, Adam na Eva si binadamu halisi wa kwanza!

    Msiweke mambo binafsi na swala la dini maana ugaidi na dini ni vitu viwili tofaut na ujambazi na ukristo pia ni vitu viwili tofaut maana pia kuna majambazi na malaya wanavyaa vitu kuashiria ni waakristo ila huwez sema ni dini ndy imewatuma Sisi sote uzao wa ibrahimu # mkristo unapanda air...
  13. denny92

    Ni hakika, Adam na Eva si binadamu halisi wa kwanza!

    Hapana xio kwamb tulikuwa tunaabudu mizimu bali alikuwa mungu wa kweli ila wazungu ndy waliona tunaabudu mizimu na walitaka tuabudu ndani ya jengo na kutoa sadaka ya sarafu na sio wanyama Sent using Jamii Forums mobile app
  14. denny92

    Ni hakika, Adam na Eva si binadamu halisi wa kwanza!

    Embu achanen na hivyo vitabu kwanza jiulize tumetoka wapi kabla ya hao hawajavileta Sent using Jamii Forums mobile app
  15. denny92

    Ni hakika, Adam na Eva si binadamu halisi wa kwanza!

    Mungu yupo ila bible na vitabu vingine vimebadilishwa ukitaka ukweli wa adamu na eva tafuta bible inaitwa book of jubilee inaonesha kulikuwa na watu zaidi ya adamu na eva Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom