Pohamba, ulichoandika hapa ni sahihi kabisa! Big up mkuu! na inahitaji akili kubwa ili kuelewa ulichoandika, sasa hao wengine wakisikia barua imetoka Ulaya wanarukaruka kama mahindi ya popcorn na kuanza kushadadia tu, wao wazungu kama ulivyosema wamefanya mangapi mabaya yasiyostahili kusema hapa...
Nakubaliana na hatua za udhibiti zinazochukuliwa sasa katika kulinda rasilimali zetu, ila hili la kujenga ukuta sawa, ila changamoto nnayoiona ni kama mmoja wa wachangiaji alivyoeleza kuwa, upo uwezekano wa wachimbaji wasio waaminifu kuchimba tunnels.
Na mimi kwa kuongeza ni kuwa, eneo la...
Mkuu haya ni mazoezi kuonyesha ukakamavu tu, ndio maana hata vijana wa Kim Jong Un wanavunja matofali pia. Lakini linapokuja suala la kujifunza mbinu za kivita hiyo ni field nyingine na bahati mbaya hawawezi kuonyesha ujuzi huyo pale uwanjani kwa sababu mazingira si rafiki. Nadhani ushawahi...
Kumbe umepata taarifa! Nikajua umefanya utafiti usio na shaka na ukaona bidhaa zake zilivyoshuka! Fanya kazi mkuu na komaa na kujenga uchumi wako! Mengine mwachie kidoti mwenyewe kwani ni mtu mzima na anajua anachofanya na maamuzi aliyoyachukua na pia heshimu maamuzi yake ya kujiunga na chama...
Sijaipenda comment ya uliyemjibu hata kidogo kwa kuwadhihaki wanawake, ila dini inaingiaje hapa? Ungeingiza jinsia ningekuelewa, hata kama una chuki dhidi ya dini nyingine jitahidi kuificha!
Tafiti dunia nzima, afu utagundua stability ya Nchi inatokana na Idara ya Usalama wa Taifa ya Nchi husika. Pia vyombo vyote vina umuhimu yaani Intelligence Organization pamoja na Jeshi. Labda nigusie kidogo tu, Kila chombo kina majukumu yake, Mfano Jeshi kazi yake ni ulinzi wa mipaka ya Nchi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.