alvinroley
Member
- Sep 30, 2016
- 71
- 251
Habari za ndani kutoka White House zinadai Rais Donald Trump muda si mrefu atamteua Jenerali Mstaafu wa Jeshi la Wanamaji (US Marine Corp), Randolph Alles a.k.a Tex kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Usalama wa Taifa wa nchi hiyo (Secret Service General Director). Jeneral Mstaafu Randolph Alles ni Jasusi aliyebobea na ameitumikia Marekani katika Jeshi hadi kustaafu kwake katika jeshi la wanamaji.
Source: CNN
Source: CNN