Kaka acha tu Yani .Dah! Hata vumbuzi zilizofanyika Kemet wanapewa credit wazungu kumbe zimetoka kule inasikitisha sana. Wanasayansi wote wa masuala ya umeme wamekopi kule Kemet.
Tesla , Volta wote wamekopi kule!
Leo nitakuelekeza jinsi ya kutengeneza logo ya kampuni yako haya ya mtu bila kutumia ujuzi wowote!
fuatilia: Unahitaji kuwa na internet connection na smartphone au laptop.
1. Tutamia tool inaitwa chat gpt katika kutengeneza prompts. Kama huna account create hapa...
Kwa uelewa wangu ni niliyofundishwa.
Kama mtu kazaliwa ina maana ipo siku atakufa na kuna maisha baada ya kifo mtu mwenye Mungu wa kweli hapaswi kuogopa kifo maana kifo ni njia ya mtu kutoka sehemu moja kwenda nyingine .
Wakati mtu anazaliwa anakuwa na nafsi ,roho na namba. Nafsi itafanya yote...
Ni Jambo la kawaida wengi huwa tunakutwa nalo Cha kuzingatia katika relationship ni kwamba je unataka uwe na relationship umejiandaa vizu?
2.ukiwa katika relationship kubaliana na Hali kwamba Matatizo unakutana nayo tu pia usipende Sana utakufa na kingine hakikisha unajua namna ya kucontrol...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.