Mapenzi yananitesa mwenzenu

Mapenzi yananitesa mwenzenu

Status
Not open for further replies.
Pole KWA hiyo Hali kua uone me sijui ila ondoa uadui furahia maisha ugua upone yasikufike mauti.
 
Chukua Ushauri Wa Mkemia Mkuu Wa Serikali Halafu Ufanyie Kazi
Samahani Lakini Hiyo Avatar Ni Wewe Mwenyewe Ama!!
 
Sio kwamba kazaa naye tu bali wana ndoa kanisani,ni muhimu kumjua vyema mtu wako kabla ya kudumbukia otherwise kama unataka mtu wa kukutia tu
 
Hapo ni kama mmekutana wajanja wawili ila mmezidiana maarifa. Mwenyewe umesema ulikuwa na mipamgo kando ukaiblock. Tafsiri yake ni kuwa wote wewe na yeyw ni zoazoa. Jiangalie pia kabla ya kuanza kumlaumu.
 
N
Mimi naishi maeneo ya Mtaa wa Bugando hapa karibu kabisa na walipopanga hawa vijana wasomi wa hiki chuo kikuu cha Bugando, aisee nikiri tu ya kua vijana wanatombna hatari sana!!! Kuna dogo ni jirani angu hapa kila siku naona vifaa vipya vipya vyeupe vinaingia room kwake jioni na kutoka mornie vikiwa vimetepeta.

Ila pia wastaarabu wapo nawaona wako serious na maisha!
Ni wachache sanaaa mkuu kwa walio na ustaarabu kidogoo..,kama kuna shule ya msingi hapoo..kwa takwmu za haraka haraka kila siku zinaokotwa ndom zaid ya 30
 
N
Ni wachache sanaaa mkuu kwa walio na ustaarabu kidogoo..,kama kuna shule ya msingi hapoo..kwa takwmu za haraka haraka kila siku zinaokotwa ndom zaid ya 30
Shule za sekondari zipo nyingi mnoo maeneo haya! Vichochoroni kukutana na used ndom ni swala lisilozuilika..
 
Hapo ni kama mmekutana wajanja wawili ila mmezidiana maarifa. Mwenyewe umesema ulikuwa na mipamgo kando ukaiblock. Tafsiri yake ni kuwa wote wewe na yeyw ni zoazoa. Jiangalie pia kabla ya kuanza kumlaumu.
i mean kabla,sjajuana nae
 
Ni Jambo la kawaida wengi huwa tunakutwa nalo Cha kuzingatia katika relationship ni kwamba je unataka uwe na relationship umejiandaa vizu?
2.ukiwa katika relationship kubaliana na Hali kwamba Matatizo unakutana nayo tu pia usipende Sana utakufa na kingine hakikisha unajua namna ya kucontrol hisia zako
 
Acha huo ujinga wa kupenda penda,dunia haiko hivyo na haiwataki watu kama nyinyi,utakuja kujiua bure,hapo sio sehemu salama kabisa,kimbia usigeuke nyuma.

Jipende wewe zaidi nafasi ya kwanza ya upendo jipe wewe

Kati ya wanaume wanaokutongoza chagua mmoja unaye mwelewa kidogo mkubalie lakini usimchukulie serious

Kuwa nae tu kwa ajili ya kukuondolea upweke,unapopata ka muda unajibebisha kidogo,maisha yako yanakuwa burudaaaaaani kabisa.

Piga kazi,tafuta pesa,fanya vitu vya maendeleo
Acha kujifanya unajua sana kupenda kwani hayo mapenzi yameanzia kwako
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom