Recent content by Dennis Tesha

  1. Dennis Tesha

    James Mbatia: UKAWA ipo imara, haitasambaratika, akerwa na kauli za Magufuli, CCM

    Mwenyekiti Mwenza Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), James Mbatia, ameibuka na kudai kuwa Rais Jakaya Kikwete amekuwa akisafiri zaidi na kutumia muda mwingi akiwa nje ya nchi kuliko nchini katika kipindi chake cha takriban miaka 10. Vyama vinavyounda Ukawa ni NCCR-Mageuzi, Chama cha...
  2. Dennis Tesha

    Lowassa kwa maono ya Le Mutuz!!!

    lemutuz_nation this is not- the FACTS but absolutely nonsense kwa kuwa lengo kubwa la Caption yako hii nikutaka kuwatisha vijana kuwa ili uweze kupata fursa ni lazima ushabikie maccm kitu ambacho ni upuuzi katika dunia ya leo na ukizingatia wewe ni msomi.- Na nukuu "Na wewe kijana unayekimbilia...
  3. Dennis Tesha

    Lowassa kwa maono ya Le Mutuz!!!

    lemutuz_nation this is not- the FACTS but absolutely nonsense kwa kuwa lengo kubwa la Caption yako hii nikutaka kuwatisha vijana kuwa ili uweze kupata fursa ni lazima ushabikie maccm kitu ambacho ni upuuzi katika dunia ya leo na ukizingatia wewe ni msomi.- Na nukuu "Na wewe kijana unayekimbilia...
  4. Dennis Tesha

    Wabunge CCM janga la Taifa

    Nikiwa kama kijana wa kitanzania mwenye umri mdogo sana, Napata mashaka makubwa sana na viongozi wa Taifa langu hili; Kama kweli ni kwamba wanauchungu na maisha ya mwananchi wa nchi hii? Na kama kweli wanauzalendo wakutetea rasilimali za nchi hii? Na kama kweli wananidhamu na matumizi ya kodi za...
  5. Dennis Tesha

    Hivi kwa nini watanzania wengi waoga?

    Watanzania siyo waoga ila roho za umimi/ubinafsi zimetuzidi.
  6. Dennis Tesha

    Kaitwa Mbowe, wengine mnaenda kufanya nini?

    Jaribu kuona haya kwa unayoandika...
  7. Dennis Tesha

    Vijana Tanzania Amka Tupambane na Umaskini

    Huwa na comment kila siku juu ya status zako kwamba Muccobs walifanya makosa makubwa kukutunuku shahada hewa, na huwa sishangai sana pale unapoandika yasiyo na vichwa wala mkia wafikra kwakuwa maccm wenzako wa Muccobs walikuhonga shahada hiyo ili uwe mtiifu na mvuja hoja kama unavyofanya. Sahau...
  8. Dennis Tesha

    GE2015 UKAWA kusimamisha mgombea Urais 2015

    Ni wachache sana watakaopuuza na kubeza mipango hiyo mikubwa ya UNCC ila ukweli nikwamba hata babu yangu kijijini kwetu alikuwa analilia kuungana kwa upinzani ili kuitoa CCM kwenye utawala na kwa taarifa hizi zimempa faraja sana hivyo wanaobeza waendelee ila kwenye nafsi zao hakuna furaha tena...
  9. Dennis Tesha

    Masikini UKAWA

    Nape ni adui yangu wa kisiasa ujue hivyo tu! Sent from my iPad using JamiiForums app
  10. Dennis Tesha

    Masikini UKAWA

    Huwa uafikiri kwa kutumia nin!? Sent from my iPad using JamiiForums app
  11. Dennis Tesha

    Masikini UKAWA

    Tangulini adui akampa angalizo adui yake kwamba anapotea! Sent from my iPad using JamiiForums app
  12. Dennis Tesha

    Yanayojiri Bungeni Dodoma: Jumanne, Trh 22 Aprili 2014 - Majadiliano ya bunge zima kwa sura ya 1 & 6

    Unadai s3 then anabaki bungeni, hakika laki3 kubwa kwake kwa siku coz ni mshahara wake huo wa mwezi mzima. Sent from my iPad using JamiiForums app
  13. Dennis Tesha

    Vodacom sasa watapatapa kutafuta wateja

    B na F kwangu zimekuwa kero, mim huwa na kawaida ya kuweka Cheka ya week ya sh4999 lakin huwa haitoboi siku tatu, mbaya zaid nikijaribu ya mwezi ya sh15000 ndyo kabisa hata siku kumi hazifiki. Kiukwel Vodacom wamenichosha mwenyewe natamani kuwahama. Sent from my iPad using JamiiForums app
  14. Dennis Tesha

    Prof. Issa Shivji, Sikutoa maoni mimi kwenye tume ya Jaji Warioba

    Le profeseri. Sent from my iPad using JamiiForums app
  15. Dennis Tesha

    Kujengea makaburi ya Waliotutangulia - Kuna umuhimu wowote?

    Kwanza fikiria ikiwa ni wew leo hii haupo duniani ukazikwa na kusahauliwa unadhani itakuwa na taswira nzuri? Kwangu mim kuna maana kubwa na kwa mwaka huu nimepanga kuvunja kaburi la Bibi yangu kipenzi Martha Njau(1938-2004) lililojengwa kwa ukawaida sana na kumjengea jingine lenye hadhi nzuri...
Back
Top Bottom