Recent content by dendu

  1. D

    JamiiForums Tanzania Updates kuhusu BOT

    vp kuhusu legal officer tulifanya aptitude test mwezi june
  2. D

    JamiiForums Tanzania Kwenye saluni ya kike ni vitu gani inatakiwa viwepo?

    kwanza anatakiwa apate eneo ambalo lipo sehemu ya wazi na watu wengi wanapita, vitu vya lazima ni kama rollers, drier,stimmer, mafuta ya nywele, dawa za nywele, vitana, shampoo, stiming, na vyombo kama ndoo, jaba na dishi
  3. D

    JamiiForums Tanzania Sikuhonga na simjui mtu lakini nimeitwa uhamiaji

    ni kweli kabisa mkuu mwimbaji anaitwa Edson Mwasabwite
  4. D

    JamiiForums Tanzania Sekretarieti ya ajira na serikali angalieni hili

    mapendekezo yako ni mazuri lakini pendekezo la pili linaweza lisikubalike kwa sababu PSRS ni chombo cha serikali na serikali imeona posta inakufa hivyo inawatumia hawa ili posta iendelee kuwepo
  5. D

    JamiiForums Tanzania Brazil Itabaki kuwa Brazil. Tuachieni Brazil Yetu

    du brazil wanafugwa nyum bani kiasi hicho basi tena waandike maumivu
  6. D

    JamiiForums Tanzania Interview ya BOT

    nashukuru
  7. D

    JamiiForums Tanzania Interview ya BOT

    asante
  8. D

    JamiiForums Tanzania Interview ya BOT

    funguka zaidi mkuu
  9. D

    JamiiForums Tanzania Interview ya BOT

    ni legal officer II, swali lako la pl cjakuelewa coz na mm nataka kujua kwamba ni oral au written
  10. D

    JamiiForums Tanzania Interview ya BOT

    Naombeni msaada kwa wale waliofanya interview BOT post za mwaka jana mniambie inakuwa ni Oral au Writen coz nimeitwa alhamisi
  11. D

    JamiiForums Tanzania Tatizo la Midomo Kupasuka

    mimi cyo docta ila miez hiyo maeneo meng huwa ni barid ndiyo maana midomo hupasuka so unaweza ukacure kwa kula matunda
  12. D

    JamiiForums Tanzania Maswali na majibu kuhusu Uhamiaji

    mi nadhani kwa kuwa uhamiaji na zimamoto wote ni wizara moja wanaweza kupeana taarifa kama kuna watu wamepata kazi fire na uhamiaji waliomba, hivyo hawawezi kuwa shortlisted tena.
  13. D

    JamiiForums Tanzania Aliyeweza kutuma application TPB

    samahani wakuu nisaidieni jinsi ya kuaccess hiyo email yao
  14. D

    JamiiForums Tanzania Mwenye Access matokeo ya Usahili Legal Officer TPDC

    nimecheki kwenye pc bt cjaona ya legal officer
  15. D

    JamiiForums Tanzania Mwenye Access matokeo ya Usahili Legal Officer TPDC

    thanks for ur advise mkuu
Back
Top Bottom