Mwenye Access matokeo ya Usahili Legal Officer TPDC

Mwenye Access matokeo ya Usahili Legal Officer TPDC

Taja namba nikuchekie


In this world nothing is certain than Tax and Death.
 
wadau hata mimi naombeni mnijuze kuhusu matokeo ya ELECTRICAL TECHNICIANS maana tumefanya interview tangu tar 04 bt mpaka leo hawajatoa updates.:baby:
 
Pepa nyingi kuanzia tar 8 hawajatoa wametoa systm analst tu. Pia ya nyuma kama legal off ii bado. Expecting today siku ya kazi.. Ila wadau hawa jamaa wako vizuri sana mambo yao
 
Electric tech yashatoka check na web yao. Ila yapo n pdf format.. Mdau tafuta cimu yenye uwezo wa kufingua pdf file utaenjoy sana mzee mambo mengi yamo humoo
 
Habari zenu wakuu, naomba msaada wa kuwekewa hayo matokeo coz cmu yangu haidownlod


Until today, interview results for laywers, i.e Senior Legal Officer & Legal Officer II, are not yet published.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom