Recent content by DEMO

  1. D

    JamiiForums Tanzania Arusha: Maduka yote ya kubadilishia fedha za kigeni(Forex) yasimamiwa na JWTZ, wananchi watakiwa kwenda Benki Kuu

    Halafu tunategemea uchumi uongezeke
  2. D

    JamiiForums Tanzania Wadada wa Mjini na Tabia ya Kuongeza 000

    [emoji3] [emoji3] [emoji23] [emoji23] vibomu vya wanafunzi vimekushinda
  3. D

    JamiiForums Tanzania Wadada wa Mjini na Tabia ya Kuongeza 000

    [emoji2] [emoji3] [emoji23] [emoji23] [emoji23] vibomu vya wanafunzi vimekushinda
  4. D

    JamiiForums Tanzania Maalum kwa wanaohitaji kusafiri: Aina ya usafiri, bei za nauli, tahadhari za kuchukua

    Naomba kuuliza kwa Arusha ofisi za Tahmeed ziko wapi @ Falcon Mombasa?
  5. D

    JamiiForums Tanzania Wanawake badilikeni

    Tena akome. Mimi mume wangu akienda kazini anatamani atoroke arudi nyumbani
  6. D

    JamiiForums Tanzania KUTOKA VIKINDU: Polisi wapambana na majambazi, askari mmoja adaiwa kuuawa

    Mwenyezi Mungu tunusuru
  7. D

    JamiiForums Tanzania AJALI: Basi la HBS laua wanne na kujeruhi 29

    Mwenyezi Mungu awanusuru majeruhi na kuwapunguzia maumivu. Wapumzike kwa amani waliotangulia mbele za haki
  8. D

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa nauli ya kutoka Dar mpaka Mtwara

    Arovera tunaomba ufafanuzi zaidi kwani kuna mwenzangu anasafiri kesho kutoka dar kwenda tandahimba. Alikuwa apitie mtwara mjini ila kutokana na maelezo yako kuna uwezekano wa kwenda bila kupita mtwara mjini. Unaweza ukanitajia mabasi mazuri kutoka hapo mbagala rangitatu ili kuepuka usumbufu wa...
  9. D

    JamiiForums Tanzania Tamisemi inamaana sisi tuliokosa ajira si watanzania?

    Hongera ndugu, yani naona kama mimi na wewe ndo tulikuwa mstari mmoja. Nashkuru Mungu, kweli subira yavuta heri. Wamenipanga halmashauri ya moshi mjini. Ila kuna wenzangu tulihangaika wote na bado hawajapangwa, wako kama 46.
  10. D

    JamiiForums Tanzania Serikali haijaajiri wahitimu wote wa ualimu 2013\2014

    Ni kweli mkuu siyo wote wameajiriwa na masomo yote wamefaulu. Wangekuwa hata na supp ingekuwa kigezo. Huyo anaebisha ni haki yake ana uhuru wa kuongea
  11. D

    JamiiForums Tanzania Tamisemi inamaana sisi tuliokosa ajira si watanzania?

    Mkuu nina uhakika na siwezi kukurupuka kuongea vitu vya uongo wakati na mimi ni mhanga. Labda kama walinipa matumaini, ukumbuke usemi wa "Serikali yetu ni sikivu,tutalifanyia kazi"
  12. D

    JamiiForums Tanzania Tanzia: Mkuu wa Mkoa wa Mara aanguka ghafla na kufariki dunia!

    Duh! Sad news. Rest in peace RCO
  13. D

    JamiiForums Tanzania Tamisemi inamaana sisi tuliokosa ajira si watanzania?

    Jamani wadau nami ni mhanga. Nimehitimu chuo cha ualimu marangu. Masomo ninayofundisha ni history na geography ila sijapangiwa kituo cha kazi. Sijui ndo mpaka mwakani maana nilienda hadi tamisemi na vyeti vyangu, wakadai tuangalie wiki hii kwenye internet ndo tunaendelea kusubiri wadau
  14. D

    JamiiForums Tanzania Mtanzania mwingine avamiwa na kuumizwa vibaya huko Nairobi

    Si umeambiwa alikuwa nairobi kikazi? Maswali mengine bwana, msiwe wavivu wakusoma comment
  15. D

    JamiiForums Tanzania For JamiiForums Mobile users

    Asante sana RGforever
Back
Top Bottom