AJALI: Basi la HBS laua wanne na kujeruhi 29

Informer

JF-Expert Member
Jul 29, 2006
1,599
6,670
939116e279b1e1dede7c8ebe24a1d3af.jpg

76d1f758014a84a7756744c42e2d8ef0.jpg

Basi la HBS limepata ajali eneo la Maji Mazuri barabara ya kutoka Mbeya kwenda Chunya.

Watu wanne wamefariki papo hapo 29 hali zao ni mbaya sana.

Basi lilikuwa linaelekea Tabora.

cbcf2889d6b9a3d836aa6640a9d2967d.jpg

VIDEO:

Chanzo si ndio kile kilichozoeleka?
I.e kutoka mkuku.
 
Chanzo si ndio kile kilichozoeleka?
I.e kutoka mkuku.
Haya mabasi ni mabovu mno kituo chake ni pale magomeni lager opp na oil com spare zake ni za kuungaunga si ajabu baada ya ajali hii akatoa yutong mpyaaaa....kuna mengi kwenye hii biashara
 
Haya mabas ya HBS ni jipu kweli kweli...Walikuwa wanaajiita SABENA baada ya kufungiwa wakabadili jina nakujiita HBS
 
Mwenyezi Mungu awanusuru majeruhi na kuwapunguzia maumivu. Wapumzike kwa amani waliotangulia mbele za haki
 
Haya mabasi ni mabovu mno kituo chake ni pale magomeni lager opp na oil com spare zake ni za kuungaunga si ajabu baada ya ajali hii akatoa yutong mpyaaaa....kuna mengi kwenye hii biashara
Mshanaaaaa!!! Umezidisha ubora..
 
Back
Top Bottom