Wazo la kabwela
JF-Expert Member
- Feb 13, 2013
- 1,897
- 1,493
jamani kuna mtu kaniambia kuwa eti mbali na walimu wa shahada serikal pia haijaajiri walimu wote wa cheti na diploma.kama ni kweli naomba kujua?..
Ni kweli mkuu siyo wote wameajiriwa na masomo yote wamefaulu. Wangekuwa hata na supp ingekuwa kigezo. Huyo anaebisha ni haki yake ana uhuru wa kuongea
Ni wengi hawajaajiriwa lakini walifauli.huyu anayebisha ana matatizo ya akili.
kwa upande wa degree wanachuo karibu 318 wa st. John Dodoma (BAED) hawajaariwa. Nakuthibitishia nkiwa ni mmoja wao.