Recent content by demarine

  1. demarine

    Biashara tatu za mtaji mdogo: Mayai, Miwa na Matunda

    1. MAYAI YA KUCHEMSHA mchanganuo wake uko ivi - ukiwa na mtaji wa elfu kumi 10000/= unatosha kuanza biashara hii ambapo trey ya mayai moja inauzwa 7500/= mpaka 8000/= , pia waweza nunua trey zile za boksi ambayo moja ni 500 au kama wajiweza unaweza nunua ya plastic kwa 2000/= , pia utanunua na...
  2. demarine

    Upigaji Punyeto: Zijue hasara/ madhara pamoja na njia sahihi za kuacha tabia hii

    Upigaji wa punyeto au kujichua hupunguza sana nguvu za kiume na hata kuua kabisa nguvu hizo za kiume. Ni jambo ovu na hatari kabisa kwa afya ya mwanaume. Moja ya sababu za kupungua nguvu za kiume kwa vijana wengi na hata baadhi ya watu wazima, ni mtindo mbaya wa kujichua au kwa lugha nyingine...
  3. demarine

    Shule 10 bora matokeo kidato cha sita 2021 hizi hapa

    Baraza la Mitihani Tanzania (Necta) limetangaza matokeo ya kidato cha sita mwaka 2021 na kutaja shule kumi bora zilizofanya vizuri katika mtihani huo. Akizungumza leo Jumamosi Julai 10, 2021 visiwani Zanzibar wakati akitangaza matokeo hayo, Katibu Mtendaji wa Baraza la Mitihani Tanzania...
  4. demarine

    Fanya biashara ndani ya biashara yako, uokoe pesa unazopoteza na ujiongezee faida

    Bro ama kwa hakika nimepata kitu kizuri leo asante sana kaja.
  5. demarine

    Je, ni kweli ili mtu uendelee kibiashara ni lazima ufanye ushirikina?

    Watu wengi ambao ni wafanyabiashara/wajasiriamali wamekua wakiusishwa/wakiamini kuwa ili kufanikiwa katika biashara itabidi ufanye ndumba kidogo ili mambo yaende sawa. Leo naomba tupeane uzi juu ya ili kwamba ni je kuna ukweli wowote kwamba ili mtu afanikiwe yampasa kufanya ndumba au la...
  6. demarine

    Biashara ya kusambaza bidhaa

    Wakuu nilikuwa naomba kufahamishwa michongo ya kusambaza bidhaa mikoani au kutoka mikoani kuingia dar. Kwa anayefahamu ni mishe ipi iko poa au kama una connection yoyote eiza kuchukua vyakura kama mbogamboga, masamaki, au chochote yani kifupi biashara ambayo aikai unachukua unapeleka mzigo...
  7. demarine

    Njia za kupata mtaji wa biashara

    Tatizo la kukosa mtaji limekuwa kubwa mno, watu wengi wanandoto za kufanya biashara ili kujikwamua kiuchumi, kila mtu anatamani walau afanye kitu kwaajili ya kupata rizki ila wanashindwa namna ya kuanza kufanya yote kwasababu ya kukosa fedha. Hizi apa njia kazaa ambazo unaweza tumia ili kupata...
  8. demarine

    Vitu vya kuzingatia kabla ujaanza biashara

    Sahihi pia bro, ila usisahau na ubola wa bizaa au huduma nalo ni laumuhimu
  9. demarine

    Vitu vya kuzingatia kabla ujaanza biashara

    Upatikanaji wa kazi kwa sasa umekua ni mgumu kila sehemu watu wanaangaika kutafuta ajira ili wapate kipato na kujiinua kiuchumi ili maisha yaende ,wasomi kwa sasa wamekua wengi kira kona kuna vyuo jambo ambalo linapelekea kuwa na wasomi wengi wasio na ajira.Kutokana na ili tatizo watu wengi...
Back
Top Bottom