Bushmamy
JF-Expert Member
- Aug 18, 2019
- 8,851
- 15,265
FactHivi ndivyo maisha yanavyotaka hatakama unamudu vyote inakulazimu uchangie wenzio ili na wewe uchangiwe.
Unamkataa msukuma mkokoteni asikubebee nyanya zako wakati huohuo ndo unamtegemea aje anunue nyanya gengeni kwako.